tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision vs Ajali zingine : Serikali ya Tanzania haijawahi kumthamini Maskini

    Wana JF Kwanza nitoe salama zangu za pole kwa wahanga wote wa Ajali ya precisionairtz.com iliyotokea Bukoba. Nimejaribu tu kuwaza kama hii ingekuwa ni ajali ya basi , tungeona haya tuliyoyaona leo . ? Thamani ya maskini wa Tanzania iko wapi.? - Ajali nyingi zinatokea nchini hatujawahi kuona...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Kifaransa kilipewa kipaumbele kufundishwa na siyo Kihispania?

    Kitu huwa nashindwa kuelewa Kwa Nini vijana wetu tunalazimisha kujua lugha ngumu ya kifaransa. Katika lugha rahisi kujifunza ni kihispania ndiyo ya Kwanza duniani kwa urahisi. Lugha ya kifaransa inaeleweka mno hasa Kwa Swahili na English speakers, maana maneno Yake unatamka au kusoma kama...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania Kifaransa kilipewa kipaumbele kufundishwa na siyo Kihispania?

    Kitu huwa nashindwa kuelewa Kwa Nini vijana wetu tunalazimisha kujua lugha ngumu ya kifaransa. Katika lugha rahisi kujifunza ni kihispania ndiyo ya Kwanza duniani Kwa urahisi. Lugha ya kifaransa inaeleweka mno hasa Kwa Swahili na English speakers, maana maneno Yake unatamka au kusoma kama...
  5. JamiiForums Tanzania 90% ya Viuatilifu vilivyopo Tanzania vina Sumu inayobaki kwenye mazao

    Mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wa parachichi Tanzania (ASTA), Rebeca Hesewa amesema changamoto inayowakabili wakulima kunufaika na masoko ya nje ni kukosekana kwa ubora wa mazao wanayozalisha. Kukosekana kwa ubora huo, alisema kunatokana na aina ya viuwatilifu wanavyotumia wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini lawama zangu zote kwa huu ukame mkubwa unaoenda kuikumba Tanzania nazipeleka kwa Rais na Makamu wake?

    Rais wa Tanzania Samia Laiti wewe na serikali yako mngetengeza urahisi wa upatikanaji wa nishati mbadala (hasa matumizi ya gesi) kwa kuifanya ipatikane kwa bei nafuu mno, sidhani kama 95% ya Watanzania wangeendelea kuharibu misitu ili wapate kuni/Mkaa wa kupikia. Hali ambayo imesababisha sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  8. JamiiForums Tanzania Apple hawana Wakala/Store Tanzania

    Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk. NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Asilimia 12 ya vijana tanzania hawana ajira

    Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha VETA mkoani Kagera “Utafiti uliofanywa na Idara ya Takwimu ya Serikali 2021 inaonesha asilimia...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shule za olevel Tanzania

    Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro. Natanguliza shukran za dhati
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tofauti: uwekezaji wenye tija katika soka la Tanzania

    JOCHO LA TOFAUTI: UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA SOKA LA TANZANIA. Uwekezaji katika Sekta ya michezo ya kubashiri Tanzania (Gaming/Betting Indutry) umekua kwa kasi sana ndani ya miaka 7. Kuna zaidi ya Makampuni 25 ya kubeti Tanzania na yanazidi kuongezeka kwa kasi sana. Lakini, moja ya kilio cha...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Kuna mambo yanafikirisha pale baadhi ya vitabu vya kale kutoa maelekezo ambayo yanapingana na uhalisia wa dunia. Tanzania (mwaka 2022) Wanawake 31,687,990 Wanaume 30,053,130 Duniani (mwaka 2021) Wanaume: 3,970,238,390 (bilioni 3.97 sawa na asilimia 50.42%) Wanawake: 3,904,727,342 (bilioni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Tanzania watu tunaishi kama tupo vitani

    Leo kuanzia asubuhi hakuna umeme,na maji hakuna
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania, from an elephant to a bedbug!

    'Tanzania, kutoka kuwa ndovu kuja kuwa kunguni'. Hakika Tanzania katika ushawishi wa kidiplomasia Afrika, duniani, imekuwa si chochote. Jana, mkataba muhimu wa amani baina ya Ethiopia na wapiganaji wa TPLF wa Tigray ulitiwa saini huko Afrika ya Kusini. Nani alikuwepo huko? Kenya, Afrika Kusini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyosikia na kuona Viongozi na Wanasiasa Tanzania nisikilizeni kwa Makini

    Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu unachakumshauri mtu anaye kuzidi kipato au mamlaka? Sasa ni hivi ktk purukushani za siasa hasa hapa Afrika na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameiheshimisha Tanzania Kimataifa, Ushawishi Wake waviteka vyombo vyote vya Habari

    Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata kutokana na kuimarika kwa diplomasia yetu ya kiuchumi iliyoimarishwa na Rais Samia,Sasa Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Kwa Tanzania, UTAPELI ni Biashara iliyohalalishwa kabisa isipokuwa kwa wenye mamlaka tu

    Mifumo ya Tanzania kiukweli inasikitisha sana. Masuala ya UTAPELI yamehalalishwa kabisa na watu wanaofanya UTAPELI wanafanya waziwazi bila kificho na hakuna anayewagusa. Tanzania hata siku moja usikae ukafikiri labda ukiwa kama Raia wa kawaida serikaali itakulinda. Suala la kujilinda ni...
  20. JamiiForums Tanzania African kulipwa fidia ya utumwa je Tanzania tumejiandaa vipi?

    EU country to apologize for slavery – media The Netherlands is expected to set up a multimillion ‘awareness fund’ as part of its history recognition campaign. The Dutch government plans to issue a formal apology next month for its history as a slaving nation, the RTL news website reported on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…