tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  2. JamiiForums Tanzania Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  3. JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

    Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.
  4. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia linaanza Nov 20, 2022 lakini Tanzania umeme hakuna

    Poleni na tabu za kuishi bila umeme na maji Tanzania! Ndugu zangu, kwa mara ya kwanza kombe la dunia linanikuta sio mwanafunzi, naishi kwangu na kazi nzuri, na niko na utulivu angalau. Nilitamani sana niangalie hili kombe kwa furaha na utulivu sana. Nikiwaza umeme unavokatika muda mwingi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading. Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

    Darasa la buree wafanya biashara wenzangu. Utaratibu na vitu vinavyo hitajika. 1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra. 2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania. 3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

    Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza. Yanga ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kuundwa Tanzania Emergency and Rescue Agency (TERA)

    Kwa rejea ya pendekezo la Abdul Nondo kuhusu majanga na desirable responsiveness and proactive plans za kimamlaka, nimeanza na brainstorming ya jina la chombo hicho, karibuni wadau kwa maoni mbali wizara mama mlezi iwe ipi na kwanini. Hayo machache. nawasilisha wakuu.
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania: Watanzania washauriwa kujiongeza mtikisiko wa maisha

    Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Manchali Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, wametoa wito kwa Watanzania hasa wa Vijijini, kutumia vyema akiba ya chakula waliyonayo, ikiwemo kuwa waangalifu na matumizi yasiyokuwa ya lazima, kitu kitakachowasaidia kumudu mtikisiko wa maisha unaotokana na...
  10. JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Sifa za wabunge

    Hivi ni kweli Watanzania wanahitaji KATIBA MPYA kwa sasa? 1) Wasomi na wote wasio na maslahi binafsi na katiba. Hawa watasema ndio kwa kuangazia mambo kadha wadha ambayo yanaonekana ni chechefu. Mfano, KATIBA ya sasa ya Tanzania inazitambua sifa nyingi za mgombea nafasi ya siasa km Ubunge...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

    Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa ni uchafu au wanasiasa ndo wachafu? Dkt anamkosoa Profesa kabisa, ni Profesa au ni ushubwada uliojaa Tanzania?

    Wakati mimi ninakua niliogopa sana watu walio itwa maprofesa aise ila uongozi wa awamu tano ulipomteua mtu aliyejiita profesa alietoka majalalani, Mimi nilijiona wa tofauti sana yaani profess anasema ametolewa majalalani kweli? Leo profesa mwenye licv kubwaaaaaa anajitokeza hadharani with wrong...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Why Tanzania is envious of Kenya's election?

    IMAGE SOURCE, GETTY IMAGES In our series of letters from African writers, Tanzanian journalist Sammy Awami suggests that his country could see Kenya as its political role-model. Tanzanians have been peering into their neighbour's compound - Kenya - with a mixture of admiration and envy...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

    Mkutano huo uliopangwa kufanyika Zanzibar kuanzia Novemba 14 – 21, 2022 ni wa kwanza tangu Rais Samia alipoingia madarakani na unabeba kaulimbiu isemayo: “Mwelekeo Mpya Katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi”. Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2022 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

    Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

    Hizi ndio ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea nchini mwetu na kugharimu maisha ya watu wengi katika historia ya nchi yetu. Chanzo: BBC Kwa sisi waamini tuendelee kumuomba Mungu atuepushe na ajali hizi zisijirudie tena 5: MV Skagit - 2012 Ajali hii ilitokea miezi 10 tu baada ya kutokea kwa ajali...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tuangazie tofauti za kifikra na kimwamko Tanzania dhidi ya wengine

    Kuweka mizania sawa kwa minajili ya ulinganifu tuiangalie Tanzania dhidi ya wengine EA. Nchi zote hapa kuna lugha rasmi za kibeberu yaani kiingereza au kifaransa. Kwingine kasoro Tanzania si ajabu kukuta watu wa kawaida wakiwamo boda boda, vinyozi, maseremala nk wakizimudu vilivyo lugha hizo za...
  20. JamiiForums Tanzania Ujio wa Masihi katika Soka la Tanzania

    Nimeiangalia Yanga ya msimu jana iliyotolewa na Rivers United, nimeiangalia Yanga ya msimu huu iliyotolewa na Al Hilal, naweza kusema timu haikua mbovu isipokua ilikosa imani. Nilishawahi kusema linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga siyo mbovu, isipokuwa inakosa ile 'breakthrough...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…