tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  2. JamiiForums Tanzania UVCCM Dar es salaam Huu ni udini wa wazi kabisa Katika siasa za Tanzania.

    Binafsi mi naamini siasa za Africa ni udini Ukanda/ukabila, vitisho na rushwa. Hakuna kingine, mnachokiona hapo ndo Hali halisi ya siasa zetu za TZ. Kwa akili hizi hatuwezi kupiga hatua. Swali Hakuna wala nguruuwe Wangefaa japo Hata nafasi tatú tu Hapo?. Most of Tanzania politicians ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  4. JamiiForums Tanzania Match fixing in Tanzania is real

    Here it is. 1. Simba Vs Coastal unión Vs Ruvu shooting Vs Mtibwa sugar. 2.Yanga Vs Kagera sugar Vs Toto Africans Vs Singida Big stars. The only way to determine the quality of Simba SC and Yanga SC is on international Matches.
  5. JamiiForums Tanzania Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi. Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe... Makosa mengine hamtaji kabila
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania watakapoacha kumilikiwa na Vyama vya Siasa ndio tutapata Katiba Mpya. Mnyika aliwahi kupigania Baraza la Vijana!

    Huwezi kupata Katiba Mpya bila ya Kuwa na movement (Vuguvugu) sahihi na hiyo hufanywa na Vijana wenye fikra Huru Alichofanikiwa Nyerere na ambacho Wapinzani wamerithi pia ni kuzikamata fikra za Vijana tangu wakiwa Shuleni na Vyuoni Ndio sababu kama Taifa hatuwezi kusogea kwa sababu Vijana...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa muziki wa Hip Hop Tanzania

    Nikifatilia muziki hasa Hip Hop Bongo sasa naona kuna utofauti mkubwa, yaani kama pengo vile hawa wasanii wasasa wanashindwa kufikia swhemu ya walotangulia. Hamna maudhui ya maana kwa muziki wa sasa, kuanzia mashairi ni sifuri, kidogo mdundo Producers wanajitahidi sana, Producer ndiyo wanafanya...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti DCEA: Dar, Tanga na Pwani ni vinara wa Dawa za Kulevya Tanzania

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya, Gerald Kusaya amesema kati ya mwaka 2021/22 wamekamata Kilo 11,974.4 za Dawa hizo nchini huku mikoa hiyo ikiongoza. DCEA Kusaya amesema "Mikoa hiyo inaongoza kutokana na jiografia yake ilivyo sababu Dawa nyingi zinazomakatwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania sijaona kiongozi mbaya,ubaya upo kwa wananchi wenyewe kati ya Wanyonge na Wanyongaji

    Hakuna rais ambaye kwenye nchi hakulalamikiwa na wananchi. Mwalimu Nyerere Raisi kwa kwanza Tanzania huyu aliogopwa sana matajiri, masikini lakini alifanya mengi ya kukumbukwa. Aliunganisha watu na kuondoa mgawanyiko wa kieneo. Mzee Mwinyi Huyu alokoselewa sana na waislamu kwa kuifungua nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

    Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki? Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho. Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

    14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni. ✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Salaam Wakuu, Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua. Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi. Wanyama wa Serengeti...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 7 kwa matajiri Afrika

    Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati. Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji: Nyerere kiongozi pekee aliyeonesha ukomavu kwenye uwajibikaji Tanzania

    Mwaka 1982 mwalimu aliambiwa na wana CCM kwenye Mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM kuwa mzee hali ni mbaya. Walimwambia tumefikia mahali rushwa imeshamiri kiasi kwamba Daktari anapokuwa thieta na mgonjwa wa upasuaji, anauliza wanandugu wazi Bahasha yangu iko wapi? Hamjui kamshahara kenu ka...
  17. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu wa Tanzania awashukuru wananchi kwa fedha za kukamilisha majengo ya Mahakama Mwanga na Same

    Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Haki siyo lazima upate wewe tu, hata mwenzako akipata haki na wewe unapaswa kukubali. Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  19. JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mkubwa Mstaafu Tanzania acha kutaka kuendelea Kumpandikiza Mwenyekiti Murtaza Mangungu ndani ya Simba SC yetu

    Tunajua ulitumia Pesa zako nyingi ulizonazo na kumpa ili azitumie kupata Kura nyingi na awe pandikizi lako ( kama mwana Yanga SC) ili umtumie Kuihujumu Simba SC yetu. Tunajua Ahadi uliyompa ni kumpigia Chapuo kwa Mama Ili amteue Nafasi ya Ubunge au katika Sekta zingine za Ulaji na Kimaamuzi...
  20. JamiiForums Tanzania Ukijiona tu una hasira kali na yanayoendelea Tanzania ni kwako sikiliza nyimbo hizi za lucky dube ufarijike

    1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae everywhere 12. Soul Taker 13. The way it is 14. I have got you Baby Ukizisikiliza hizi Nyimbo zangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…