tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa "shipping agent" kutoka India kwenda Tanzania

    Wadau, nataka kuagiza mzigo kutoka India kuja Tanzania. Mwenye kufahamu freight/ shipping agent anayefanya usafirishaji, mfano wafanyavyo Mapembelo kwa China na Tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC kupigwa mnada nchini Ujerumani

    Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya kukarabati na kutia nakshi. TRC wamelipa Sh. 23 bilioni (35% ya kazi). Inadaiwa kuwa Mkurugenzi...
  4. JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  5. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

    Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
  7. JamiiForums Tanzania Suala la umeme Tanzania ni uzembe wa Serikali

    Wanyamwezi tuna usemi "if it ain't broke, don't fix it." Tulikua tunaenda vizuri tu, umeme ukikatika hauendi muda mrefu unakua umerudi. Lakini tukaona hapana, tupindue meza. Kalemani kaa pembeni ili aje January. Makamba tungeweza kumuweka hata wizara ya mambo ya nje, lakini wapiii? Kalemani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

    Ukweli mchungu, Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli. Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu. 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana. 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania China imeondoa ushuru kwa bidhaa za Tanzania

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Kwa mara ya kwanza Jamhuri ya watu wa China imepitisha uamuzi wa kuondoa kodi (Zero-Tarrif) kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazotoka Tanzania kuanzia Mosi Disemba 2022. Msamaha huu kwa bidhaa za Tanzania ni matokeo ya juhudi za Rais Samia katika kukuza diplomasia...
  11. JamiiForums Tanzania Bashiru for Tanzania presidency 2025

    I hate ccm but the guy who experiences hate from ccm might be the right guy. Bashiru needs to apologize for his proud statements during his time as the party secretary. Then and only then some of us will consider voting for him.
  12. N

    JamiiForums Tanzania CCM nguvu mnayoitumia kutetea wakubwa wenu, muitumie hivyo hivyo kutupigania na kutuletea maendeleo sisi wananchi wa Tanzania

    Asalam alaikum Ndg zangu Mapendo Daimaa Tumsifu Bwana wetu yesu kristo Ndg zangu kwa kitamaduni za kiTanzania salamu ni kitu cha Muhimu sana kwa Jamii zetu mbalimbali hapa Nchini. Nawasalimu wote WAKUBWA kwa WADOGO. Naomba Tusogee kwenye Mada tajwa hapo Juu, Kama raia wa JAMHURI, Tanganyika...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais kama Hayati Magufuli

    Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake. Wajinga wengi wakaona kuwa anawaonea bure lakini walikuwa hawajui kilicho kuwa kinaendelea nyuma ya pazia. Sasa hivi ndo hawa hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe akabidhi ripoti ya uchunguzi kufeli mawakili LST

    Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Harrison Mwakyembe amesema changamoto hizo pia...
  15. JamiiForums Tanzania Ya Kenya kujirudia Tanzania Team Hustlers(Bashiru) vs team mabwenyenye

    Kiutani utani tu popularity ya Bashiru imeongezeka ghafla Sana yeye ni Team Hustlers anawapigania wanyonge wacha nao wanaowapigania mabwenyenye tuwaone wanaendeleaje
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

    MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi unafahamu pesa ya Tanzania inachapishwa Ujerumani?

    Pesa, noti za Tanzania zina printiwa Ujerumani. Nchi mbili tu Afrika Mashariki ndo zinachapa fedha nchini mwao ( Kenya na Congo), pia ni nchi tisa tu kiujumla Afrika ndio zinachapa fedha zao ndani ya nchi zao. Chanzo: DW Nchi za afrika na chapa za fedha
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Najuta kuzaliwa Tanzania

    Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…