tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

    Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7 Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elon Musk Skips Kenya, to Offer Internet Satellite to Tanzania Through Starlink

    Starlink provides internet access to over 40 countries globally, with Tanzania set to become the third country in Africa after Nigeria and Mozambique. The Citizen reported that the service will be available in the East African country from the first quarter of 2023 and will be expected to boost...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya dhidi ya M23: Je, Kenya itaweza kufanya kile ilichofanya Tanzania mwaka 2013?

    Inakuaje brothers and sisters, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo ndio siku ya mwisho waliopewa waasi wa Congo ili kusalimisha silaha zao kwa serikali, kinyume na hapo hatua kali za kijeshi zitachukuliwa kwa kundi lolote la waasi ambalo limekaidi amri hiyo. Na oparation hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo gani na tunataka Mfumo upi? Ubepari, Soko huria, au vyote?

    Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa? Ubepari? Market socialism? Ubepari ukiwa na Soko Huria? Soko Huria? Command Economy? Unknown (Yaani Made in Tanzania) Au...
  6. JamiiForums Tanzania Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

    Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10. Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo: 1. Dar es Salaam-32,219 2. Arusha-7,180 3. Tanga-4,282...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Picha inayoonesha watu wakinywa maji machafu pembeni ya dimbwi imepigwa nchini Tanzania

    Oicha hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wanadai imepigwa nchini Tanzania, lakini kutokana na uwekezaji mkubwa ambao Serikali yetu imefanya mimi siamini kama ni kweli imepigwa nchini kwetu. Je, hii picha ni Tanzania?
  9. JamiiForums Tanzania Alichosema Waziri Mkuu wa Italia kinaendana na Tanzania ya sasa hivi?

    Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  11. JamiiForums Tanzania Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

    Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja. Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kujaribu kuwekeza kwenye vyanzo vingine vya umeme tofauti na umeme wa maji Tanzania

    Nchi yetu imetegemea umeme wa maji kwa muda mrefu sasa licha ya ukweli kuwa zipo njia mandala nyingi na mazingira yanayoruhusu kupatikana kwa nishati mbadala. Ni kama tumejiaminisha kuwa umeme ni mpaka utokane na maji “Hydro-electric power” tu. Tafiti zinaonesha yapo maeneo yanayoweza kutumika...
  13. JamiiForums Tanzania Mechi ya Ujerumani dhidi ya Japan inaanza saa ngapi kwa masaa ya hapa Tanzania?

    Nina shauku sana ya kwenda kuwaangalia Wajerumani wakiwa wanamfunga mtu! Hii mechi kali na muhimu inaanza saa ngapi wadau?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia pamoja na changamoto zote lakini utashinda kwa ushindi mkuu

    Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaelewa kazi kubwa uliyonayo. Tunaelewa lawama unazobeba kwakua ndiye Rais wa taifa letu. Tunaelewa kazi kubwa unayofanya ya kututafutia fedha za miradi nje ya nchi. Tunaelewa jinsi ilivyo kazi kutafuta Fedha yoyote ile iwe ya mkopo au ya msaada...
  15. JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye: Samia anaandaa Tanzania ya kesho

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa ya kuandaa Tanzania ya kesho. Sumaye alisema hayo jana katika Kata ya Bonga, mkoani Manyara wakati alipopewa nafasi na Rais Samia ya kusalimia wakati msafara wa Rais uliposimama hapo akiwa njiani kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania 90% ya 'Antibiotic' zinatumika kutibu wanyama badala ya Chanjo Tanzania

    Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu amesema jijini Dar es Salaam kuwa takwimu zinaonesha asilimia 92...
  17. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini. Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
  19. S

    JamiiForums Tanzania KISIASA: Tanzania tuna chama kimoja tu, CCM!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo. Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wauza mahindi: Hatuna mahindi tena Tanzania, yaliyopo yanatoka Zambia na Malawi

    Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi. Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…