tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

    Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Tuambie nikwa vipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni au Utegemezi

    Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi 1. Idadi ya watu milion 67+ 2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65) 3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili Ongezea hoja hizu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  4. JamiiForums Tanzania Vyeo vya Kijeshi vya Jeshi la Wananchi Tanzania: Imetokana na Historia niliyowahi kuitoa kuhusu Kanali Ali Mahfoudh

    Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume. Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni ngumu kumfukuza mtumishi wa Umma Mzembe kazini | Salamu za Meimosi kutoka kwa David Kafulila

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna haja Tanzania tukaiga mfumo wa elimu wa Irani

    Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo Wataalamu wanasema huo mfumo tulitengenezewa na Wazungu Ili tuwe tegemezi Na ndio maana wametuandikia katika vitabu vyao jinsi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
  9. JamiiForums Tanzania Wito wa kukomeshwa viboko mashuleni, Tanzania

    Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja yakisisitiza umuhimu wa kuondoa adhabu hiyo katika mazingira ya shule. Tamko hilo pia linaungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Internet users hit 58.9 Million equivalent to a 19.5% increase

    Internet users in Tanzania have continued to rise, reflecting the rapid growth of the country’s communications and information technology sector, with new data showing a significant increase in the use of various services over the past year. Read Also: Tanzania’s inflation rate rose to 3.3% in...
  11. JamiiForums Tanzania System ya kubebana na kubeba watu wasiokuwa na uwezo ndio imefikisha Tanzania hapa

    Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua...
  12. JamiiForums Tanzania Ona Mabenki ya Tanzania Yalivyopiga Faida Kubwa Baada ya Kuwakamua Wananchi Kwa Riba Kubwa za Mikopo na Makato yasiyoeleweka.

    Benki ya CRDB imeongoza Kwa kupiga faida kubwa yaani super normal profit baada ya kuibia Watanzania Kwa riba kubwa na makato yasiyoeleweka. https://www.instagram.com/p/DXwCODMjpnq/?igsh=MXFyMnhrZGRwbGx4OQ== My Take Serikali Inafaa kuingilia Kati Ili kuokoa Wananchi kama inajali lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Hiko ndio kitu wanachokuja kufanya Wachina Tanzania

    Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa Serikali za Africa hazina hata mpango Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu. Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania Africans tutabaki kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania and Sweden Seal USD 1.32 Billion Deal for SGR Expansion in Dodoma

    Tanzania and Sweden are taking another major step forward in their partnership with the signing of SGR Lots 3 and 4 in Dodoma. With financing of around USD 1.32 billion, this milestone reflects a shared commitment to long-term, sustainable infrastructure. Already used by over 5.5 million...
  15. JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya vipodozi (cosmetics business) Tanzania

    Biashara ya vipodozi ni moja ya biashara zinazokua kwa kasi sana Tanzania kwa ujumla. Kuongezeka kwa matumizi ya mitandao ya kijamii, ushawishi wa influencers, na uelewa wa self-care kumeongeza mahitaji ya bidhaa za urembo kwa wanawake na wanaume. Ukuaji wa kipato cha watu umeongeza matumizi...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya lodge / guest house Tanzania

    Kwa mujibu wa World Bank (2023), ukuaji wa miji Afrika unaongeza uhitaji wa huduma za malazi, huku Tanzania National Bureau of Statistics ikionyesha kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi mijini, hali inayochochea safari za kikazi na mahitaji ya lodging. 👉 Hii ina maana moja: Biashara ya lodge sio...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua kuwa kumbe hatujulikani sana tunapitwa hata na Zanzibar na Zimbambwe

    Nadhani tuna safari ndefu sana kujulikana kimataifa sijajua kwa upande wa western countries sana ila ukanda wa cental asia na southern asia na oceania countries bas Tanzania haijulikani kabisa hata ukiwatajia raia wa kawaida kuitamka ni shida. Ila kuhusu safari tour wanajua ni kenya pekee...
  18. JamiiForums Tanzania TANZANIA Kutafuta Maridhiano ni Ujinga wa kisiasa! Elimu inaruhusu kuona ujinga huo

    Tume ya maridhiano iliyokuwa ya kutolea mfano ni ile ya Afrika ya kusini. Matatizo ya Afrika Kusini yalitokana na siasa za ubaguzi wa rangi. Baada ya siasa hizo kutoweka, Ndo ikaundwa Tume ya maridhiano. ilikuwa salama kwa sababu hakuna jinsi siasa hizo zinaweza kurudi nchini kwao. Kenya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sweden na Tanzania kutia saini makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 reli ya Standard Gauge mjini Dodoma, Aprili 28, 2026

    Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya kuendeleza miundombinu endelevu, kuimarisha muunganiko, na kukuza ukuaji wa kiuchumi wa muda mrefu...
  20. JamiiForums Tanzania Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

    Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…