tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

    Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa. Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii. Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
  2. JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu Malaya wa Tanzania sehemu za Bata

    Hello JF, Katika hali inayoshangaza, Arusha Malaya wengi sehemu nzuri nzuri elfu30 unapata Malaya wa kulala nae, Dodoma ndio usiseme, Morogoro ni wimbo wa Taifa tulivu, Chalinze ni sogea twende, Iringa bure kabisa, Songea utapewa hata wiki, DSM utaitwa bebi siku zote, Tanga utaletewa chakula...
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Badilika Tanzania

    Tanzania nchi ya amani, taifa lenye watu wapendwa amani, ukarimu, taifa lililoundwa na Mungu Kwa mapenzi yake, uoto wa asili, wanyama wa mwituni na wafugwao, misitu mikubwa ya asili, mito isiyokauka, madini na Kila chenye thamani machoni pa Mungu na mwanadamu, mbona wajiharibu mwenyewe? Taifa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali nchini Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
  5. JamiiForums Tanzania Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hello JF members, Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine. Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani 👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ujerumani ina watu milioni 82 ilhali baiskeli zipo mil. 81, Tanzania baiskeli ni alama ya umaskini

    Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  8. JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  11. JamiiForums Tanzania Ya Djibouti kama ya Tanzania

    Serikali ya nchi ya Djibout imevunja Mkataba wa uendeshaji wa Bandari ya Doraleh nchini Djibouti kati ya Serikali hiyo na Kampuni ya DP World ya Falme za Kiarabu (UAE), Na kuishtaki kampuni hiyo. Serikali ya Djibout imechukua maamuzi hayo magumu baada ya kugundua vipengele vya Mkataba huo...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  14. JamiiForums Tanzania Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

    Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 113.6 umetolewa kwa Serikali ya Tanzania Barua hii...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Sarungi mmojawapo wa wanufaika wa mahusiano ya Tanzania na Hungary

    Mikol Philemon Sarungi Doctor educator government official physician Mikol Philemon Sarungi is a Tanzanian government official, physician, surgeon, medical educator. Background Mikol Philemon Sarungi was born on the 23rd of March 1936 in Tarime, Tanzania; the son of Sarungi Igogo Yusufu and...
  16. JamiiForums Tanzania "Tanzania: A Tapestry of Wonders and Dreams"

    In Tanzania, where beauty knows no end, A land of wonders, history does transcend, From sunlit plains to mountains tall, Opportunities arise, a beckoning call. In Serengeti's embrace, wildlife roams free, Great herds traverse the savannah, a sight to see, Graceful giraffes, lions' majestic...
  17. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania hazimuoni Tumisang Orebonye?

    Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu. Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    Elimu Tanzania imegeuka kichekesho maana hakuna anae jali sana kuhusu umuhimu wa elimu. Watu hawataki tena kujifunza na kutatua changomoto za jamii ila wanatafuta vitu ili kujitoa kwenye midomo ya wacheshi. Ajabu hii wasomi wanadharauliana wao kwa wao kila mmoja anamuona mwenzie kilaza...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…