tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Foreign Service Officer (15 Posts) at The Ministry of Foreign Affairs

    Position: Foreign Service Officer (15 Posts) 1.1.1 Duties and Responsibilities To prepare meeting agenda, minutes and records of discussions and provide reports on International related issues; ii. To participate in several meetings and conferences held within and outside the country...
  2. JamiiForums Tanzania Learning Support Teacher at Aga Khan Education Service

    Position: Learning Support Teacher Key Responsibilities Ensure effective instruction and assessment of students in the subject assigned. Ensure the welfare of all students, taking appropriate measures of support and guidance. Implement high quality instructional process in the classroom...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya kweli ya Tanzania yatafanywa na Watanzania wenyewe

    Watawala wangu kama hamtalishika Hilo neno hapo juu, na kulifanyia kazi kwa dhati yenu yote, sahauni kabisa kuwa na maendeleo kwenye nchi hii. Nawaambia hivi hata mlete malaika kutoka mbinguni kamwe hamtayapata hayo maendeleo. Sio malaika tu hata Mungu mwenyewe aje hawezi kuwaletea maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Assistant/Technician at UMATI

    Position: Pharmaceutical Assistant/Technician Reporting to: Doctor in charge Location: Moshi Region Duties and Responsibilities: ~ To identify all medicines and medical equipment’s needed by the facility and identify the budget needed yearly. ~ Ordering, maintaining stock and distributing...
  7. JamiiForums Tanzania Plant Pathologist at TaCRI

    Position: Plant Pathologist Location: Kilimanjaro, TaCRI Lyamungu Reports to: Programme Manager(Coffee Research Improvement Programme) Roles and responsibilities: Support Plant Breeding and provide information to stakeholders pending forecasting or existence of coffee diseases for managing the...
  8. JamiiForums Tanzania MIS & Reporting Executive at Airtel

    Position: MIS & Reporting Executive Responsibilities 1. Report generation/preparation; Overall BI management, Reports loading/logic validation, report automation and table updates. Develop and/or update Marketing standards reports Ensure accuracy and completeness of data generated from...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

    Siyo siri, Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023. Siyo siri Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Catholic Bishops in Tanzania oppose an agreement giving Ports to a Dubai based company

    Tanzania’s Catholic Bishops have strongly criticised and cautioned the Government of Tanzania against going ahead with the Intergovernmental Agreement (IGA) between Tanzania and Dubai, giving exclusive port rights to the Dubai-based DP World company. A heated and divisive debate Over the...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania pawepo na maeneo huru ya kupumzika

    UTANGULIZI Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

    Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu). Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati...
  16. JamiiForums Tanzania Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Baraza la Mitume na Manabii Tanzania lakanusha kutoa Tamko

    Baraza Kuu la Mitume na Manabii Tanzania limekanusha kuhusika na barua ambayo imesambaa mtandaoni ikieleza kinachodaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu sakata linaloendelea la Mkataba wa Bandari. Akieleza katika video aliyoiposti kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

    Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza. Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mashirika mengi ya Tanzania hayatekelezi ahadi zao na hayajali muda wa Vijana

    Naweza nikatumia lugha ya uongo maana ndio maana halisi endapo mtu atashindwa kutekeleza lile aliloliahidi. Lengo la post hii sio kulichafua shirika lolote lile ila ni kuwakumbusha tu kuwa wasiwachukulie poa vijana wanaowapa kazi. Mfano mzuri leo hii nitayazungumzia mashirika mawili WATUMISHI...
  20. JamiiForums Tanzania Msingi wa siasa za Tanzania uko kidini, kamwe haiwezekani ukatenganisha dini na siasa za Tanzania

    Baada ya Serikali na CCM kubanwa kona zote kuhusu mkataba wa bandari na DP world, watawala na wapambe wao wakaona njia rahisi ni kuwagawa watanzania kidini mpango ambao nao umegonga mwamba. Hoja iliyobakia kwa watawala ikawa ni kuzifunga mikono na midomo taasisi za kidini zisijadili mkataba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…