tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwisha habari yetu hata misitu ya asili tunahitaji wawekezaji!

    Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje. Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zimbabwe, upinzani Tanzania bado hatujifunzi?

    Uchaguzi wa karibuni kwenye mazingira kama yetu, ni huu wa juzi Zimbabwe. Waangalizi mbali mbali mbali wakiwamo SADC, Carter Center na wengine, wamelazimika kuuita kwa majina yake. Yaani kwa ufupi, wameuona siyo uchaguzi bali ni wizi wa mchana kweupe. Hapa chini ni sampuli za yale matokeo...
  3. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe gani wanaopiga kura kumchaguwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania kwa mujibu wa katiba yao?

    Igweeeeee, Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu? Kwa upande wa Kanisa Katoliki nadhani iko wazi hakuna Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, maaskofu wote ni...
  5. JamiiForums Tanzania Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap "Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.." Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI MBISHI baada ya Nikki kumshinda Kali kwenye FREESTYLE EAST AFRICA BATTLE Ndiyo wakafanya na ngoma ya...
  6. JamiiForums Tanzania Assistant Librarian (Re - Advertised) – 2 Post at Mzumbe University

    Position: Assistant Librarian (Re - Advertised) – 2 Post Duties and Responsibilities i. To undergo an induction course in pedagogical skills for those who had none before; ii. To carry out lectures; conduct tutorials, seminars and practicals for undergraduate programmes in Library Studies...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo saba (7) ya kufanya ili kuuzima moto wa mgogoro unaosababishwa na mkataba wa DP world na Tanzania

    Mgogoro unaozunguka mkataba kati ya DP World na Serikali ya Tanzania umezua hisia na mijadala katika jamii ya Kitanzania. Hili ni suala linalohitaji kushughulikiwa kwa umakini ili kuepuka athari za kudumu kwa taifa letu. Kwa kuwa kuna maoni tofauti na hisia kutoka kwa wananchi, serikali, na...
  9. JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla. --- Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tumenufaika nini kwa uwekezaji huko Loliondo na Ngorongoro?

    Nimekuwa nikijiuliza: Tanzania kama Taifa huru tunanufaika nini na uwekezaji unaofanyika Loliondo na Ngorongoro? Najiuliza swali hili kutokana na mateso na manyanyaso ambayo inaelezwa wenzetu Wamasai wanapata kutoka kwa vyombo vyetu vya dola vikiwemo Polisi, JWTZ na Askari wa TANAPA. Inaelezwa...
  11. JamiiForums Tanzania Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania’ data (Part 1)

    The Tanzania Intelligence and Security Service is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and security organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside...
  12. JamiiForums Tanzania Invitation for Expression of Interest at Tanzania Coffee Board (TCB)

    TCB/PA/107/2022- 23/SC/1504 for PROPOSAL CONSULTANCY FOR DEVELOPING FERTIZER CREDIT SCHEME FOR COFFEE FARMERS Invitation for Expression of Interest This invitation for Expression of Interest (Eol) follows the General Procurement Notice (GPN) which appeared in TANePS Issue no. dated 20th July...
  13. JamiiForums Tanzania Senior Marketing Executive at Guardian Limited

    Position: Senior Marketing Executive Main Responsibilities: Formulate an appropriate commercial strategy that responds to the overall development of the company’s marketing operations, newspaper sales, advertisements and other printed products. Become knowledgeable expert of The Guardian...
  14. JamiiForums Tanzania Assistant Boilermaker at Bulyanhulu Gold Mine

    Position: Assistant Boilermaker Reporting to: Fabrication Workshop Supervisor Duration: Permanent RESPONSIBILITIES: Ensure safe work practices, i.e., attending compulsory safety courses and meetings, use of required PPE, incident/accident reporting and ensuring total adherence to all Safety...
  15. JamiiForums Tanzania Public Engagement Assistant (Experiential Learning and Education Outreach Coordinator) at U.S. Embassy August

    Position: Public Engagement Assistant (Experiential Learning and Education Outreach Coordinator) Qualifications and Evaluations Requirements: Experience: Three (3) years of experience is required, with communications, public engagement management, or education duties as components...
  16. JamiiForums Tanzania Geological Database Assistant at Bulyanhulu Gold Mine

    Position: Geological Database Assistant Reporting to: Geological Database Administrator Duration: Permanent Location: Kahama, Shinyanga Responsibilities Database management: with the example, the required candidate for this position is required to assist the Database Administrators to...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu. Naomba kufahamishwa: A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari...
  18. JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: CCM ilipigania uhuru wa Tanzania na Mapinduzi ya Zanzibar

    Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na baada ya hapo ndo ikaleta muungano. Ikumbukwe uhuru wa Tanzania ulipatikana 1961 kupitia chama cha...
  19. JamiiForums Tanzania Waraka wa Kanisa Katoliki na Nafasi ya Kanisa Tanzania, Tutarajie

    Nilikaa kimya kwa muda baada ya Waraka wa Kanisa Katoliki, nilifanya hivyo ili kuruhusu mitazamo ya wengine katika tafakuri za waraka huu. Kabla sijachambua Waraka huo, Kwanza nithibitishe kuwa NINAUNGA MKONO kwa 100% waraka huo. Na pia kabla sijachambua nimebini kupitia maoni ya watu mbali...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…