tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Clearing & Forwarding Officer at TAHAFresh Handling Ltd

    Position: Clearing & Forwarding Officer Location: Zanzibar Duties and Responsibilities Receive inquiries from customers and advise on document requirements for clearing consignments both, imports and exports. Informs / notifies the client of any changes with ZRA/TRA systems and customs...
  2. JamiiForums Tanzania Technician Automotive (1 Post) at MWEKA

    Position: Technician Automotive – 1 POST Employer: Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (MWEKA) Duties And Responsibilities i. To participate in repair and maintenance of vehicles; ii. To identify the likely defects that might cause vehicles; iii. To ensure proper arrangements, cleanness and...
  3. JamiiForums Tanzania Trade Sales Office at KCB Bank

    Position: Trade Sales Office Reference Number: 1422 Key Responsibilities Trade Finance deal origination, structuring and placement. Marketing and market intelligence, directly and in partnership with Corporate Relationship Managers and Retail SME Business Teams. Providing expert advice to our...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

    Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania. Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Branch Manager at Ecobank

    Position: Branch Manager Duty Station: Mwanza, Tanzania Ecobank – The Pan African Bank Qualification: Bachelor’s degree in business related fields of study or equivalents At least 5 years Sales & Products experience with good sales track record. Knowledge on banking products and operations...
  6. JamiiForums Tanzania Tender Notice at CCBRT

    Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered Non-Governmental organization providing specialized healthcare services operating in Dar es Salaam and Moshi, Tanzania. From its inception as a provider of community-based rehabilitation provider, CCBRT has...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
  8. JamiiForums Tanzania Hizo ndio kampuni 27 zinazoshikilia tenda za Uagizaji Mafuta yanayotumika Tanzania kila mwezi

    Tanzania Association of Oil Marketing Companies (TAOMAC) ni shirika ambalo lilianzishwa tarehe 23 Machi 2000 chini ya Sheria ya Vyama, SURA 337. TAOMAC inajitahidi kukuza sekta endelevu na yenye ushindani wa mafuta ya petroli, ambapo makampuni yote ya uuzaji wa mafuta (OMCs) yanaendesha...
  9. JamiiForums Tanzania Request for Proposals at Colleges and Institutes Canada (CICan)

    Request for proposals Survey of best practices for the success of women in technical and vocational short courses Bids are to be returned by email to info@tz.collegesinstitutes.ca by September 15, 2023. Contact for queries on the RFQ: Email: info@tz.collegesinstitutes.ca Subject Line: ESP...
  10. JamiiForums Tanzania Monitoring Evaluation and Learning (MEL) Officer at Water Mission

    Position: Monitoring Evaluation and Learning (MEL) Officer Duty Station: Dodoma, Tanzania Department: PG Program Development Minimum Experience: Experienced The MEL Officer will be responsible for: General Responsibilities Maintaining a strong Christian witness and model servant leadership...
  11. JamiiForums Tanzania East Africa Federation na Hatma ya Tanzania

    Kabla ya wakoloni kuja Africa tuliishi kwa namna yetu. Bahati mbaya historia ya Afrika imepotezwa kwa makusudi au kupotoshwa. EAST AFRICA COMMUNITY KWA SASA The Republic of Burundi The Democratic Republic of the Congo The Republic of Kenya The Republic of Rwanda The Republic of South Sudan...
  12. J

    JamiiForums Tanzania EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

    Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18. --- Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile Mamlaka ya udhibiti wa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle of Electric Cars, Kenya vs Tanzania

    Hehehe Kenya Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara 2030 (EXPO 2030)

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO 2030). Ahadi hiyo imeelezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo alipoelezea...
  15. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

    Wasalaam, Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku. Walimu na elimu vinahitaji good governance...
  16. JamiiForums Tanzania Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  17. JamiiForums Tanzania "Temperament" ya viongozi wa Tanzania

    Sijui Kiswahili chake fasaha kama ni haiba au hulka, au silka, n.k, ila waliotuletea vitabu wanaiita TEMPERAMENT. Kuna faida kujifahamu na kuwafahamu wengine. Kutakusaidia kuweza kushirikiana na wenye "temperament" tofauti na yako, na hata wakati mwingine, kujua aina ya mtu unayehitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea Dunia ya Kidijitali: Sekondari ya Zanaki yaanza kutekeleza mradi wa kujenga Jamii ya Kidijitali Tanzania

    Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali baada ya kupata vifaa vya tehama kwa ajili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Vienna Protocol inakataza kukamata Balozi wa mwenzio. Tanzania ilikamata balozi wake yenyewe! Kumvua ubalozi hakufuti aibu

    Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo. Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida. Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…