tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Serikali ya Tanzania chini ya Samia, imewakabidhi DRC Mwanaharakati Denise Dusauchoy ili akanyongwe. Ni mkosoaji wa Felix Tshisekedi

    Picha za kwanza za Denise Dusauchoy akiwa nchini ya ulinzi #Kinshasa -Kongo Huyu alikamatiwa akiwa uwanja ndege katika Kilimanjaro tarehe 30 Agosti kufuatia hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa serikali ya Kongo Denise Dusauchoy Mukendi mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii alikuwa...
  2. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  3. TANZANIA LEO – IJUMAA, SEPTEMBA 4, 2026 🇹🇿

    📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu. 📌Mhe. Mwigulu: Tuwawezeshe Watanzania kushika uchumi wao, kupunguza umaskini — Serikali yaweka mkazo katika...
  4. Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

    Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo...
  5. Dola Yapungua Nguvu Dhidi ya Shilingi ya Tanzania $1

    Mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha tarehe 2 Septemba 2026 yanaonesha kuimarika kidogo kwa Shilingi ya Tanzania (TZS) dhidi ya Dola ya Marekani (USD) na Rand ya Afrika Kusini (ZAR). Viwango vya Mabadilishano (NMB) Dola ya Marekani (USD): Bei ya kununua imeshuka hadi Sh2,590 (kutoka...
  6. Kwa nini kutaka kuwa Rais Tanzania inaonekana dhambi kubwa sana ?

    Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania. Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa Tanzania wakati wowote ule ikiwa tunasema hii ni nchi ya kidemokrasia na kila mtu ana haki ya kuwa...
  7. K

    Tanzania masikini lakini show off za magari ya serikali

    Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
  8. H

    Rais Dkt. Mwinyi awakaribisha wawekezaji wa Serbia kuwekeza Tanzania

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa wakati umefika kwa urafiki wa muda mrefu wa zaidi ya miongo sita kati ya Tanzania na Serbia kutafsiriwa...
  9. Nimeota ndoto kuhusu siasa za Tanzania

    Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita. Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba. Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara...
  10. Innovation Week Tanzania 2026: Baada ya Uzinduzi wa Jana JNICC, Je Tunavuka kutoka Mipango (Dira 2050) kwenda Utekelezaji?

    Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity." Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
  11. A

    KERO Hivi kuna Jiji jingine Tanzania lenye barabara mbovu kama Mbeya? Tuungane hapa kuweka picha na ushahidi

    Kwa kweli hali ya baadhi ya barabara za Mbeya inakera. Mashimo yamekuwa mengi kiasi kwamba kuendesha gari au pikipiki katika baadhi ya maeneo ni kama kufanya mtihani wa kila siku. Sasa tuwaulize wananchi: Ni jiji gani Tanzania mnaona lina barabara mbovu kuliko Mbeya? Kwa Mbeya, ni barabara au...
  12. S

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) toeni agizo namba za customer service zote ziwe na option ya kuongea na mtoa huduma

    Tafadhali sana Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), tunawaomba angalau mtupunguzie mojawapo ya kero nyingi sana katika nchi hii, kwamba unapopiga namba yeyote ya Customer Service, iwe ni kampuni za simu, mashirika ya umma, biashara, NGO nk, ili mradi iwe ni customer service, basi...
  13. EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  14. A

    Wanafunzi Law School of Tanzania wanaofanya mitihani watakaguliwa kama wana vifaa vya Kielektroni

    Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  15. M

    DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  16. K

    Mnyika amedhihirisha kwamba uprofesa wa Tanzania ni takataka

    Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa...
  17. Jinsi ya kuanzisha na kufanikiwa katika biashara ya Vifungashio Tanzania

    Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
  18. Unajua unaweza kuanzisha biashara ya unga wa Lishe kwa mtaji unaoweza kumudu?

    Mahitaji ya vyakula vyenye virutubisho yanaendelea kuongezeka, huku watu wengi wakitafuta bidhaa zinazoweza kuwasaidia kupata lishe bora. Hali hii inafanya biashara ya unga wa lishe kuwa fursa nzuri kwa mjasiriamali anayetaka kuanza kwa kiwango kidogo na kuikuza hatua kwa hatua. Hata hivyo...
  19. Jinsi ya kufanikiwa katika biashara ya kununua na kusafirisha mazao Tanzania

    Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida. Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
  20. JS Kabylie ya Algeria yatangaza kumsajili nyota wa Tanzania, Alphonce Mabula

    Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika dirisha kubwa la usajili, lakini hatimaye ameibukia JS Kabylie. Usajili huo unamuweka Mabula katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…