Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili.
Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni
Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza
Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu.
Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni
Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi
Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala...
Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa.
Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
15 February 2024
Victoria, Seychelles
Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania
Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu?
Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi.
So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni...
Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania Inakabiliwa na Sheria Iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha
"Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovoti 400. Mheshimiwa Spika, mradi huu unahusisha kandarasi tatu ambazo ni ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya...
Match Day!
JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General
Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam.
Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni.
Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare...
Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo:
20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari.
Waandishi wa Habari wa Kike...
Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi.
Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero.
Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues!
Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya.
Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
Habari za asubuhi!
Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.
Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.
Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
Position: Clinical Excellence Lead Tanzania
Reports to: Country Medical Director
Location: Dar es Salaam (Travel between regions will be expected)
Job Summary:
The Clinical Excellence Lead is responsible for driving quality initiatives within the Clinical Operations team and supporting other...
Tazama hizi ni barabara za Ivory Coast kwa uchache.
Ivory Coast ni nchi imekuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hadi miaka ya hivi karibuni.
Angalia miundombinu yao ya barabara.
Jiulize Tanzania tunakosea wapi?