tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
  4. JamiiForums Tanzania India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  5. JamiiForums Tanzania Exploring the Potential of Bryte Sky Links in Tanzania

    Bryte Sky Links is a well-established and trusted business that prides itself on providing a wide range of essential services to meet the diverse needs of our valued clients. With a commitment to excellence and customer satisfaction, we have become a one-stop destination for a variety of...
  6. JamiiForums Tanzania Ninampango wa kufungua kampuni ya uongozaji wa watalii ndani ya Tanzania

    Post closed
  7. JamiiForums Tanzania Wanariadha 8 wa Tanzania Kushiriki All African Games, Accra Ghana 2024

    Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana. Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga, Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana. Noja ya...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

    Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba? Nyerere - Yanga Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi) Mkapa - ???? Kikwete - Yanga Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  13. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

    Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia. Ni timu mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Tanzania msipoteze uaminifu kwa manufacturers wa nje waliowaamini kwa kutolipia mizigo mliyopewa kwa mali kauli. peni pesa za watu

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda kuna nini?

    Hello! Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda. Je, nchi hizi 2 zinatishana ? Je, kuna nini kinaendelea? Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries)...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania: Where Beauty Embraces the Heart and Soul

    Dear Tanzanians, In the heart of East Africa lies a land that isn't just beautiful; it's a poetic masterpiece of nature's finest strokes and human warmth that intertwine to create an experience that transcends mere words. Tanzania, oh, Tanzania - a symphony of breathtaking beauty that doesn't...
  17. JamiiForums Tanzania Uzalendo nchini Tanzania: Upendo, Uaminifu au Dhima?

    Nilijikuta kwenye mbio za kutembeza Twitter siku nyingine. Ndio, bado unaiita "Twitter." Baadhi yenu waimbaji wa teknolojia wanaweza kuiita X, Y, au nani-anajua-nini-kifuatacho, lakini nivumilie. Kuingia kwenye tweets za kisiasa ni kama kuchimba kwenye mfuko wa chips mbalimbali - baadhi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  19. JamiiForums Tanzania Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  20. J

    JamiiForums Tanzania Hali ya kiwango cha Rushwa nchini Tanzania

    Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na: Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…