tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania MPYA Ni kweli Putin aliwahi kufika Tanzania?

    Kumekuwa na madai ya muda mrefu mtandaoni kwamba Vladimir Putin aliwahi kuwa Tanzania miaka ya 1970 akifundisha wapigania uhuru katika kambi za mafunzo. Madai hayo yanasambazwa sana pamoja na picha inayomuonyesha mtu anayefanana na Putin akiwa pamoja na Samora Machel. Wanahistoria mtusaidie...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Is Tanzania Shifting toward Russia as new Foreign Policy? And Abandoned USA and Allies

    “Is Tanzania shifting toward Russia as a new foreign policy or cooperation strategy after President Samia’s recent Russia visit?” — the short answer is: Possibly yes, but not as an exclusive shift toward Russia. It looks more like Tanzania expanding a multi-directional economic diplomacy...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa gani katika medani za siasa usiyemuamini Tanzania/Tanganyika na kwanini?

    Kwa ujumla wanasiasa by 98 % mimi huwa siwaamini maana wanakuwa driven na vyeo/ madaraka na fedha na uchafu mwingine you can think of. Wapo kama akina Nyerere, Sokoine, Kawawa walikuwa waadilifu by 100 let me put it to that level! Kwa sasa ni akina nani hawaaminiki kabisa, both in Upinzani na...
  4. JamiiForums Tanzania Ndaki: Deni la Taifa linaweza lisiwe himilivu, Serikali ipunguze Ukopaji wa Ndani

    Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema; "...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa mauzo ya nje hivi sasa ni 13.9% wakati ukomo ni 15%. Hivyo endapo hatutaimarisha mauzo yetu nje...
  5. JamiiForums Tanzania Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Data Science: Nguzo mpya ya maendeleo ya kiuchumi Tanzania na Duniani

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa lolote Masikini kama Tanzania kuwa mshirika Mkuu wa Russia na China ni Kujiangamiza kiuchumi

    Guys Kwa ambao huwa.hamfuatilii mambo ya kisiasa kiufupi Russia ni mpuuzi tu mbwa asiyekuwa na meno. Russia kashawaingiza wengi mkenge kama South africa, Cuba, Zimbabwe na Venezuela hata hiyo BRICS haina lolote la maana wamekutana wanafiki tupu. Naomba mfuatilie hali ya maisha ya CUBA kama...
  9. JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  10. JamiiForums Tanzania Women in Leadership Forum (WLF) yaandikwa kwenye kumbukumbu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo Juni 1, 2026, Taasisi ya Women in Leadership Forum (WLF) imetambulishwa rasmi Bungeni kama moja ya majukwaa ya kipekee, siyo tu nchini bali hata duniani, kutokana na msingi wake wa kuwakutanisha wanawake viongozi 12 kutoka vyama 10 tofauti vya siasa, waliovuka mipaka ya itikadi na ushindani...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

    GHOROFA INAUZWA IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿 Underground, floor 1 and 2 ▶Maduka yako kama 60 ▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania CNG-kwanini kasi ya matumizi bado ni hafifu sana?

    Nimekuwa nikiwaza na kuwazua sana kwa muda mrefu. Mungu ametujalia akiba kubwa ya gesi Songosongo na MnaziBay.Naelewa kila kitu huanza taratibu,lakini kwa unafuu wa bei ninaoushuhudia kwenye bei za CNG vs petrol/diesel kwa sasa ni mkubwa mno. Tayari 5+ years magari yameweza kuwa converted...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania limsaidie Mch. Mbarikiwa Mwakipesile

    Bwana Yesu apewe sifa. Nalisihi Kanisa la Mungu lililopo Tanzania limkumbuke Mch. Mbarikiwa Mwakipesile. Ninaposema Kanisa la Mungu la Tanzania simaanishi dhehebu! namaanisha ni watanzania waliomwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao na wanamwishia yeye kama alivyoagiza. Hawa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Tanzania ni Taasisi imara, badala ya kutegemea Wanasiasa

    Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tatizo lililopo ni kwamba watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo

    "Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo na taifa letu kwa ujumla. Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tsh bilioni 1.3, ipo Bunju B

    LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B 📍 Bunju B 📐 Plot Size: 1,568 SQM 💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable) This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment. 🔹Brand New 🔹Good View & Fresh Air🍀 🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms) 🔹 Large Sitting...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana 1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea 2. Utekaji wa kitoto 3. Mauaji 4. Machawa 5. Undugu 6. Unzanzibari na Ubara 7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
  18. JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna economic plan?

    Salama? Naomba wataalamu mnijuze hivi kweli Tanzania tuna economic plan? Roboti Yunesi aliyetengenezwa na kupelekwa bungeni siku ya kuwasilisha bajeti ya sayansi na teknolojia kipindi cha mh Nape uko wapi? Alitumia sh ngapi? Zilitoka wapi?nini mwendelezo wa hiyo project? Drogba na mwezie...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Msibabaishwe na Wanaosema Mitandaoni ‘Hapakaliki’, Tanzania ni Salama

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…