tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  2. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  4. JamiiForums Tanzania Remote Work Tanzania: Mwenye Uzoefu Atuongoze

    Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz. Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza kipato kiasi cha pembeni ya shughuli zangu za kawaida. Niningepend kusikia uzoefu halisi kutoka kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tharman Shanmugaratnam kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu. Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na Rais wa Singapore nchini tangu Tanzania na Singapore zilipoanzisha rasmi mahusiano...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  10. JamiiForums Tanzania RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

    RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo...
  11. JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Samia anajali familia na marafiki zake tu sio Tanzania!

    1. Angalieni safari ya Urusi kajaza ndugu zake na watoto. Hakuna hata kitu kimoja cha kunufaisha 2. Ni mkataba gani wa maana tumepewa au uwekezaji gani wa maana!!! 3. Yaani tukio kubwa eti ni kupewa PHD ya heshima!!!! Haya mambo yote ni ya kufurahisha nafsi yake lakini manufaa kwa nchi hakuna
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya laachia kisago kwa Seikkali ya Tanzania

    Muda si mrefu ulio pita, Bunge la Ulaya limeaachia kisago kikali kwa kuondoa misaada kwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2026/27 kwa miradi yote. Bunge limepiga kura na wabunge 81 wakikubali kuweka vikwazo, mmoja kukataa na wanne kujitoa kwenye kura hizo. Hivyo misaada hiyooo imeyoyoma. Sababu nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Je Russia alikogeukia Mama inapendezwa na staili ya siasa za Tanzania...

    Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni. Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
  15. JamiiForums Tanzania Hiki kizazi kinachofanya siasa miaka ya sasa bado kina fikra za miaka ya 70's zenye roho ya u Swahili Swahili mostly hata ibada hawafanyi

    Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Hotel inauzwa, ipo Mtwara, Tanzania. Bei ni dollar 1.6m

    OPERATING BEACH HOTEL FOR SALE IN MTWARA REGION -Invest in this stunning resort and take advantage of the burgeoning tourism industry in Mtwara. -This is your chance to own a piece of paradise and capitalize on a promising future. Features of the Hotel: - 45 rooms - Restaurant -...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Msuguri, bei tsh 240m

    GHOROFA INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI#### INA HATI YA WIZARA(CLEAN TITTLE DEED)#### INA VYUMBA 4 KULALA VYOTE MASTERS, SEBLE, JIKO, DINNING NA CHOO LUBLIC##### UKUBWA WA KIWANJA SQM 2000*****UMBALI KUTOKA LAMI KM 1### BARABARA NI LAMI#### BEI MILLION 240 MAONGEZI!!!! 🇹🇿Call/WhatsApp...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yaalikwa kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika 2028

    Taasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ijulikanayo kama Africa Bee Expo, imeialika Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028 na kujumuisha wafugaji wa nyuki kutoka takribani nchi 50. Mwaliko huo ulitolewa leo na Mwenyekiti wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania inatafuta nini Urusi? (BBC)

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya siku tatu nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, ambapo atafanya mazungumzo rasmi na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, pamoja na kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026). Hii ni ziara ya kwanza ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania, Australia Partner for Modern Agriculture

    Minister of Agriculture Hon. Daniel Chongolo (MP) held a joint discussion between Tanzania and Australia to strengthen cooperation in agriculture, research, and technological development. The Governments of the United Republic of Tanzania and Australia have reaffirmed their longstanding...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…