tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo itajali, kuboresha sheria za nchi na kuthamini haki za wafungwa magerezani

    UTANGULIZI. 👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi. Picha kwa hisani ya mtandao. 👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia, 1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii. 2. Kuzuia Uhalifu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

    Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo. Waziri atoe msaada wake.
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tafuta TV station ya Tanzania ninuwe mda wa saa moja

    Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi. Ila kwa kuanzia naanza kusafiri kila mkowa wa tanzania na kuongea wenyeji. Lengo kubwa itakuwa ni kuonyesha fursa za biashara, kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

    Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Usafari wa Dar-Miono unapatikana wapi?

    Habari Wakuu? Nategemea kwenda Miono. Ila sijui usafiri wake kwa jiji la Dar unapatikana wapi? Na nauli ni kiasi gani? Ahsante sana kwa msaada wenu.
  8. JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675 Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 How Tanzania can take it's economy to another level in 5- 25 years through investing in technology

    In the next 25 years, Tanzania has the opportunity to leverage technology to propel itself to the next level in various sectors, including education, healthcare, agriculture, governance, and infrastructure development. These are few examples; Education: Technology can revolutionize education in...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Government Procurement and Financing: A tool to alleviate poverty and unemployment concerns in Tanzania

    In Tanzania, the problem of poverty and unemployment persists even though various efforts are taken to combat poverty. Efforts taken to combat poverty have produced only a modest decrease in poverty which coupled with a rapid population increase translated to increase in number of poor people in...
  12. JamiiForums Tanzania Anayejua kuhusu huyu Roboti wa Tanzania anisimulie vizuri. Naona mitandaoni amekua gumzo

    Kwenu wataalam wa maroboti.
  13. JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Advancing the Technology Sector in Tanzania

    Introduction: The technology sector has the potential to drive economic growth, innovation, and job creation in Tanzania. However, there are challenges that need to be addressed to fully capitalize on this potential. This proposal outlines a comprehensive plan to advance the technology sector...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wanautaratibu wa kujiwekea akiba

    UTANGULIZI - Tanzania tuitakayo ni ile ambayo wananchi wake wana utaratibu mzuri wa kujiwekea akiba. Akiba ni muhimu sana katika ustawi wa kibinafsi na maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Kwa hiyo, kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba kunaweza kusaidia katika kujenga mifumo imara ya kifedha kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi ni nyingi sana. Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja...
  19. JamiiForums Tanzania The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania

    The Tanzania Democracy Forum 2024: Towards an Inclusive, Participatory Democracy in the United Republic of Tanzania 16 and 17th May, 2024 Golden Tulip Airport Hotel, Zanzibar Zanzibar, Tanzania The Center for Strategic Litigation (CSL), in collaboration with Waandishi wa Habari za Maendeleo...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiachana na ranks, kwa score bado mazingira ya habari ni magumu

    Mei 3, watu wengi walifurahi kuona Tanzania imepanda kwa nafasi 40 kwenye uhuru wa habari duniani. Yaani mwaka 2023 ilikuwa ya 143, lakini mwaka 2024 imekuwa ya 97. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya Reporters without Borders. Hata hivyo, ripoti ile inaweka score kwa kila nchi na kila score ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…