tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Agro-urban-rural tourism, my Tanzania (kilimo-utalii-mijini na vijijini, Tanzania yangu)

    Kilimo-Utalii ni aina ya utalii unaojumuisha shughuli za kilimo, ambapo wageni husafiri kwenda maeneo yaliyopangiliwa vema ili kupata uzoefu unaohusiana na kilimo na maisha ya vijijini na mijini. Aina hii ya utalii inalenga kutoa uzoefu wa vitendo na kielimu kuhusu kilimo, desturi, na mazingira...
  2. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo muhimu kufikia Tanzania ya Ahadi

    Tanzania kama ilivyo nchi nyingi zinazoendelea duniani na isiyo na uchumi uliosimama, ikiwa nchi yenye kujitegemea ki salafu, uongozi na sekita nyingine muhimu. Lakini bado haijafikia kuitwa inchi yenye maendeleo ya juu maendeleo stahiki yanayoiwezesha inchi kusimama kiimala katika nyanja zote...
  3. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye ajira lukuki, likifanyika jambo hili inawezekana

    TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili. Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira. Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi, Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
  4. JamiiForums Tanzania Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Elimu ya Fedha kwa Raia ni Muhimu kwa Maendeleo ya Taifa. Tuanze na watoto sasa

    TUANZE NA WATOTO ELIMU YA KIFEDHA Moja ya elimu muhimu sana tulio ikwepa ni elimu ya fedha, ambayo huenda ingetusaidia sana kwenye mipango yetu ya maisha ya kila siku na hivyo kusaidia taifa hili. Watanzania wengi hatuna elimu ya kifedha nikiwemo mimi ninaye andika hii story. tusichanganye...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wadau kupeleka barua Ubalozi wa China kuishinikiza Serikali yao isiunge mkono mradi wa EACOP, wasema kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Baadhi ya mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini Tanzania pamoja na nchini Uganda wamekosoa vikali mradi wa Bomba la mafuta ghafi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 1400 kutokea nchini Uganda hadi Tanzania kwenye mkoa wa Tanga kwamba ulipitishwa katika Mazingira yasiyo shirikishi huku wakidai...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu inafurahisha sana!

    Wakuu Heshima mbele. Binafsi kuna kitu kinanishangaza sana. Tanzania ni nchi ambayo raia wanaongoza kwa malalamiko dhidi ya serikali. Si serikali ya raisi yoyote ile iliyowahi kuwepo madarakani watanzania wasilalamike. Lakini ukifika kwenye uzi kama wa battle Dar es salaam Vs Nairobi ni watu...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Mawazo yetu tanzania yetu

    Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu

    Tanzania ni nchi yenye historia inayojieleza vizuri kwa wengi, ukwasi rasilimali na umoja. Katika kuelezea kuhusu Tanzania tuitakayo, ni muhimu kuelewa na kutathmini vipengele mbalimbali vinavyojenga taifa letu. Tanzania tuitakayo ni nchi yenye maendeleo endelevu, usawa, haki kwa wote, uchumi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo inapaswa kuwa na Miji ya EcoSmart

    Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na teknolojia kutatua changamoto za mazingira wakati tukiendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
  11. JamiiForums Tanzania Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo yakuzingatia katika mazingira ili kuijenga Tanzania tuitakayo

    Kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2022 imeonesha kuwa Tanzania ina watu wapatao milioni 60+ ikiwa ni ongezeko la watu milioni 20+ kutoka sensa ya mwaka 2012, kwa mustakabari huo ongezeko la idadi ya watu linaenda sambamba na ongezeko la shughuri za kibinadamu...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nchi yangu

    Utangulizi: Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri zitaongeza Pato la Taifa. Nchi hii imekuwa maarufu duniani kutokana na Mlima mrefu barani Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  16. JamiiForums Tanzania TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED🎥 (01/06/2024)👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo; The vision for tomorrow

    In the heart of East Africa lies a nation teeming with promise and potential. Tanzania, with its diverse landscapes, vibrant culture, and resilient people, stands at the threshold of transformation. As the sun sets on the present, let us cast our gaze toward the horizon, envisioning a Tanzania...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  20. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kichwa: Uvumbuzi wa Michezo ya Kubashiri kwa vijana na Maendeleo ya Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Michezo ya kubahatisha imekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa vijana duniani kote, na Tanzania haiko nyuma. Kwa miaka 25 ijayo, michezo ya kubahatisha inaweza kuwa na jukumu muhimu katika kusaidia maendeleo ya nchi kwa njia mbalimbali. Kwanza kabisa, michezo ya kubahatisha inaweza kuchangia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…