tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa Madaraka Tanzania

    Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini

    Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi? --...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa Rais na Baba wa taifa J.K Nyerere maneno haya yamekuwa yakisemwa na viongozi na wanamapinduzi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Watoto wetu hazina yetu

    Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maono ya kibunifu kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ya baadaye inaweza kujenga msingi imara wa maendeleo endelevu kwa kufanya mageuzi ya kina katika maeneo muhimu kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, na miundombinu. Hapa ni maono ya kibunifu kwa kila eneo ambayo yanaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25...
  6. JamiiForums Tanzania List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  8. JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

    Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Mkapa, timu ya Simba itakuwa dimbani kuwakaribisha JKT Tanzania kwenye mchezo wa kufungia msimu. Mechi hii inategemewa kuwa na ushindani mkali sana kwa sababu ya uhitaji wa timu zote mbili. Nani kuibuka mshindi leo? --- Kikosi cha Simba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni tatizo au Serikali imekosa mwelekeo?

    Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa. Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya serikali iamini kwamba wao ni mabosi wa mahakama. Mahakama imetuhumiwa kutotenda haki, imetuhumiwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Tanzania yenye maendeleo kwa kizazi cha kesho na kesho kutwa

    UTANGULIZI. Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari. Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya Nchi na kwa mujibu wa sheria wakauchagua utaifa wa Tanzania baada ya miaka kumi na nane. Hivyo basi...
  11. JamiiForums Tanzania DKT Tulia: Mtambo wa kupima Ubora wa Barabara kuleta Mageuzi Tanzania

    MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS), nchini Uswisi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

    Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Do you think our artists can raise their voices to address sensitive issues in Tanzania?

    There is a new trend where people globally are blocking celebrities who are not addressing sensitive world issues, such as the Gaza conflict. It began at the Met Gala when content creator Haley Baylee said, "Let them eat cake," which triggered many of her fans and others who compared the...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara. Source: New star tv ...
  17. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wazo la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania

    Wazo moja la kuboresha usimamizi wa rasilimali za uvuvi nchini Tanzania ni utekelezaji wa programu za usimamizi shirikishi za kijamii. Mbinu hii inahusisha kushirikisha jamii za wenyeji katika usimamizi wa rasilimali za uvuvi kwa kuwapa ushiriki katika mchakato wa kufanya maamuzi na utekelezaji...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue sifa na gharama za kumiliki silaha Tanzania

    ANGALIZO Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza kubadilika, na ni muhimu kushauriana na mwanasheria au mamlaka husika kwa taarifa zaidi na za kina. Mwandishi...
  20. JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni uharamia baharini kwani tunaweza kuchukua hatua iwe Tanzania pekee?

    Kuanzia siku za hivi karibuni tumeshuhudia gharama za kutoa kontena bandarini zimepandishwa mara tatu zaidi kuliko ilivyokuwa awali. Kwamba hapo awali gharama za kusafirisha kontena moja kutoka China mpaka bandari ya Dar ilikuwa milion sita. Lakini kwa sasa kontena hilo linasafirishwa kwa milion...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…