tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania UNICEF yaipongeza Tanzania kwa uwazi katika maandalizi na Utekelezaji wa Bajeti

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo. Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja mbalimbali

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku tukidumisha amani aliyo tujengea Baba wa taifa Hayati Mwl Nyerere, hivyo basi yatupasa ya sisi wananchi...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tajiri itumie rasilimali zilizopo kuboresha uchumi

    Utajiri: Utajiri ni namna ya kuwa na vitu vingi vya thamani na kuwa na vyanzo vya mapato ambavyo vinamilikiwa na mtu au nchi .Tanzania imebalikiwa na katika utajiri wa vitu vingi sana vya thamani Katika miaka mitano ya mabadiliko Tanzania naipata jina Tanzania tajiri ambayo itapambania na...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 The Promise of Forensic Science in Tanzania

    In the heart of East Africa, Tanzania stands at a crossroads. For too long, its justice system has relied on speculation and circumstantial evidence to prosecute suspects, often resulting in wrongful convictions. This practice not only undermines the integrity of the justice system but also...
  5. B

    JamiiForums Tanzania #TSCLIVE: Safari Tanzania, Wildscreen Festival Tanzania

    06 June 2024 Matunda ya Tanzania Royal Tour kuwashirikisha wananchi ili kuleta mguso chanya kwa waishio karibu na maliasili hizo pia wadau wa sekta ya utalii #TSCLIVE: SAFARI TANZANIA, WILDSCREEN FESTIVAL TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=AyZUZjtIPxg
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu taasisi ya Risk Management Tanzania

    Naomba nijue ni chuo hiki au nini nimeingia kwenye website yao ila sijaridhika sana yaani nimeshindwa kukifahamu kiundani majukumu yake na kipo chini ya wizara gani. Kama ni chuo kinatoa course gani Kwa level gani?
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950, Korea Kusini ilikuwa moja ya nchi maskini zaidi duniani ikitegemea sana kilimo na haikuwa na misingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo. Nawasilisha.
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba Benki ya Exim China kusaidia fedha za ujenzi wa SGR

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Benet (ICT Tanzania Backbone): Free internet

    BENET (ICT BACKBONE) : Bridging the Digital Divide Gap in Tanzania by provision of Free Internet Accessibility. Introduction Benet is a forward-thinking company dedicated to transforming Tanzania’s digital landscape by providing widespread smart appliances and reliable free internet access...
  13. JamiiForums Tanzania Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. --- Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ‘School Bus’ Tanzania ni ipi? Vigezo gani vinazingatiwa ili gari litoe huduma ya kubeba wanafunzi?

    Tanzania inaendelea kuona ongezeko la shule binafsi jambo ambalo ni zuri na sina shida nalo hata kidogo. Tuliosoma enzi za ujima waliosoma shule hizi tuliwaona mafogo kinoma. Kwanza kwa sisi tuliokuwa nje ya Dar hatukuwahi kusikia school bus, ilikuwa ni ngumu kuamini kuwa eti kuna chalii...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Impact of the Personal Data Protection Act on businesses in Tanzania

    As the number of organizations that process personally identifiable information increases, so does the need for such organizations to ensure the safety and privacy of data. It is essential for organizations to implement a data protection framework that provides guidance on the protection of...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 From Empty Shelves to Full Potential: Reimagining Public Finance for a Healthier Tanzania

    Introduction A stark reality confronts Tanzania: the misuse of public funds, as revealed by the 2022/2023 Controller and Auditor General (CAG) report, represents a significant obstacle to achieving a brighter future for the nation. This analysis proposes a ten-year plan to transform Tanzania's...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Bridging the Digital Divide: A Collaborative Approach to Free Public Internet in Tanzania

    The internet has become an essential tool for education, communication, and economic empowerment in the 21st century. However, a significant portion of Tanzania's population remains unconnected due to affordability challenges. This essay proposes a collaborative approach involving the Tanzanian...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Jaji mkuu Tanzania

    Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili, Kwa mfano Mimi Kuna kesi nimeenda kumdhamini mtu anadaiwa kiasi kisichazidi mil 1 Nina barua anayonitambua...
  19. JamiiForums Tanzania VoA watolea ufafanuzi taarifa ya Masharti ya Mkopo wa Korea Kusini kwa Tanzania

    Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na kutafuta ufafanuzi wa kina wa taarifa ya mkopo huo kutoka Serikalini. Habari hiyo inaeleza: Serikali...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la tatizo la masoko la mazao ya kilomo Tanzania?

    Unadhani kutokana na kuwepo kwa changamoto ya masoko kwa bidhaa pamoja na mazao kwa wakulima Tanzania nini linaweza kuwa suluhisho ukiachana kuilaaumu serikali je unaona vijana wana nafasi gani hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…