tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  2. Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

    Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo. Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya...
  3. Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

    Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata. Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
  4. Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  5. J

    Comparative Analysis of Common Laws in Tanzania and Nigeria

    Tanzania and Nigeria, two prominent countries in Africa, share numerous similarities in their legal frameworks due to their colonial histories and subsequent legal evolutions. Both countries have developed robust legal systems that aim to promote justice, protect human rights, and ensure the...
  6. Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  7. Y

    Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  8. Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

    Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.
  9. Dr John Pombe Magufuli: A Visionary Leader Who Changed Tanzania Once and for All

    Dr John Pombe Magufuli, the late President of Tanzania, is remembered as a transformative figure whose leadership left an indelible mark on the nation. Dubbed "The Bulldozer" for his uncompromising approach to development, Magufuli's presidency was characterized by bold initiatives aimed at...
  10. K

    Watanzania wameamua Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni kauli inayochangiwa na imani kubwa waliyonayo kwa CCM, uthubutu wa uongozi wa Ndg.Samia ambaye ni...
  11. Tanzania na Indonesia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Madini

    TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI - Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini - Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa. - Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
  12. Mfahamu aliyetunga wimbo wa taifa wa Tanzania

    Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga. Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika. Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
  13. Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
  14. D

    Kitu gani kinafanyika Kenya hakifanyiki Tanzania?

    Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji kufa kwa ajili ya kesho yetu? Vijana Kenya wanalalamikia Uhuni katika Tume ya Uchaguzi, IEBC. Sisi...
  15. Duniani nzima imetetereka leo kutokana na hitilafu ya mtandao kwenye kampuni ya Microsoft, Tanzania tumejifunza nini?

    Wakuu, Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi wategema wa Wazungu tumejifunza nini? Tunafanyaje kupata ujuzi huo na kuanzisha vya kwetu? Tuna program...
  16. Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

    Hivi kwa nini Tanzania hakuna programmers. Karibia wote wanaojiita Senior programmers hamna kitu ni copy & Paste naukienda kwenye social media accounts zao wanavyotoa ushauri kwa junior developers utadhani wanajua kumbe hamna kitu. Hakuna project yeyote ya programmer's & Developers wa Tz...
  17. D

    Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  18. Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

    Assalamu alyekum Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua Asanteni
  19. Nini kifanyike ili Viongozi wa Tanzania wapunguze Magari kwenye misafara yao? Ni aibu

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu. Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
  20. GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

    Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…