tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana

    Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana Yapo mengi ninayoyataka nchini kwetu lakini, hatimaye, Tanzania tuitakayo itajengwa na watoto na vijana wetu na waitakayo wao. Na waitakayo wao itategemea aina ya elimu watakayoipata na kama ni elimu waitakayo kwa ajili yao, familia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Strategies to curb global warming in Tanzania

    Title: Strategies to Curb Global Warming in Tanzania. Introduction: The United Nations (UN) 17 sustainable development goals (SDGs) which in September 2015 were agreed by world leaders aim at creating better world to live by everybody. Ending poverty, inequality and to address climate change...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 MABORESHO Bora ya Elimu Tanzania

    Wizara ya Elimu Tanzania
  4. R

    JamiiForums Tanzania Challenges faced by foreign investors with Tanzania Revenue Authority

    “AN ADVOCATE'S PERSPECTIVE” Recently, a letter from various embassies highlighted numerous challenges faced by foreign investors with the Tanzania Revenue Authority (TRA). Initially, I suspected the letter might be fictitious due to the nature of the complaints. However, my doubts were...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Developing the culture of financial saving in families in Tanzania

    Monetary savings by individuals is a crucial issue since it calls for every individual to develop personal discipline in creating savings on the earnings one gets through salaries, businesses, farming and so forth. Developing personal discipline on savings requires a consistent and focused...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu mzungu ina maana ameiona Tanzania tu?

    Hii hali ipo dunia nzima kasoro mataaifa yao. Kwann Tanzania tu?
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Kutumia teknolojia ya Blockchain kukabiliana na Ufisadi serikalini na TRA

    Katika habari za hivi karibuni, kuna skendo kubwa imetikisa sekta ya fedha ya Tanzania. Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) alihusishwa na wizi wa fedha za serikali, kiasi cha zaidi ya TZS 3.8 bilioni (takriban USD 1.6 milioni). Skendo hii imesababisha wasiwasi kuhusu usalama na uadilifu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania imeingia makubaliano ya kuiuzia Zambia Mahindi Tani 650,000

    Andiko la Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo. Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia...
  10. JamiiForums Tanzania Uhitaji wa Social Reformers Tanzania

    Mambo ni shaghala bhaghala kama nchi. Tanzania aichomoki kwa wahusika wa succession planning waliopo hawana clue dunia inazunguka vipi. Take it or leave it hata hao vijana wa kesho waliopewa madaraka leo, wengi hawana uwezo. Get some serious people tume ya utumishi. Kama teuzi za uongozi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 The future of occupational health of workers in Tanzania

    Occupational health relates to the impact health has on work and work has on health. Its objective is to prevent or reduce occupational health diseases developing such as asthma, hand-arm vibration and noise induced hearing loss. Sometimes the employee brings these conditions into work and...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa letu nguvu moja ili kuifikia Tanzania tuitakayo miaka 10 hadi 30

    Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uzalendo ndani ya mtoto wa Tanzania

    Taasisi ya elimu ingeandaa masomo ya kizalendo kwa watoto sio ti stadi za kazi.Watoto wanabidi wafundishwe uzuri wa nchi yao na pia kupenda nchi yao maana ndio urithi wao ni kazi yao kuilinda. Jeshini zile siku za mwanzoni huwa wanafundishwa uzalendo nyimbo za uzalendo. Lakini kama mashuleni...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu, Tren ya umeme haitakuwa na tija Tanzania

    Kichwa cha habari chahusika. .Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa. Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa . Haijulikani wamefunga mabewa mangapi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubunifu na Maendeleo kwa miaka kumi, kumina tano na ishirini na tano ijayo

    Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na maendeleo kwa miaka kumi na kumi na tano ijayo. Hii itahusisha kuboresha sekta mbalimbali kwa kutumia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 The future of United Republic of Tanzania

    Tanzania is a nation with the merger of Tanganyika and Zanzibar, where the merger took place in 1964, Tanzania has been making various efforts to achieve a middle-class economy, including infrastructure construction, health care provision and many other things but also there are factors that...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubunifu na Maendeleo kwa Miaka Kumi na Kumi na Tano Ijayo

    Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa kwenye ubunifu na maendeleo. Hii itahusisha kuimarisha sekta mbalimbali kama vile elimu, afya...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Hadi Kiu Lishe: Safari ya Kuimarisha Upatikanaji wa Maji Tanzania

    Tanzania, yenye utajiri mkubwa wa vyanzo vya maji kama mito mikubwa na maziwa, bado inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wake. Licha ya rasilimali hizi kubwa za maji, maeneo mengi, hasa vijijini na baadhi ya miji mikubwa, bado yanakabiliwa na uhaba...
  20. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…