tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  2. B

    JamiiForums Tanzania AWLN and Stakeholders Equality Forum Stakeholders to Galvanize Commitment, Financing and Accountability for Women’s Economic Justice and Rights

    Hon. Riziki Pembe Juma, Minister of Community Development, Gender, Elderly and Children Zanzibar. The African Women Leaders Network (AWLN), in collaboration with the Government of the United Republic of Tanzania and UN Women, has convened the regional meeting to reflect on progress, galvanize...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  4. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona mnatupa TOKENI tatu tatu?

    TANESCO nashangaa na sielewi mbona mnatupa TOKENI tatu tatu?. Aisee kuandika hayo manamba ni kazi sana rudini kwenye utaratibu wa tokeni moja.
  5. JamiiForums Tanzania Kulinda Miamba ya Matumbawe ya Tanzania: Vita Dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi

    Miamba ya matumbawe ya Tanzania, ambayo ni miongoni mwa yenye bioanuwai kubwa zaidi duniani, inakabiliwa na tishio la mabadiliko ya tabianchi. Kuongezeka kwa joto la bahari kumesababisha kukauka kwa matumbawe, na kuhatarisha maisha ya viumbe vya baharini na riziki za jamii za pwani...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi alivyowasili Tanzania (Julai 1, 2024) kwa ziara ya Kitaifa ya siku nne

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024. Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
  7. JamiiForums Tanzania Tema Tanzania

    Tasnia ya Tehama ni kipengele ambacho kina lipa na wala sio siri , Tatizo kubwa kwa mtu mmoja mmoja linakuja pale anapo gundua anatakiwa kuwekeza muda zaidi ili jambo flani kukaa sawa. Wakati unaanza kuhangaika na TEHAMA taswira ya kuanza kunufaika inakuwa mbali sana. Kuna picha nyingine...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 BASATA okoeni sanaa ya Tanzania

    Baraza la sanaa la Tanzania linahusika kwenye ukaguzi wa maudhui ya sanaa pamoja na utoaji wa hakimiliki ya kazi za sanaa za wasanii wa Tanzania. Baraza hili limekua likijitahidi kuhakikisha maudhui yanayowasilishwa kwenye jamii hayavunji maadili ya kitanzania kwa kufungia kazi za sanaa...
  9. JamiiForums Tanzania Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile. Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania List ya vijana 10 Tanzania waliobadilishwa maisha na ujio wa Mtandao. Bando zao zimewapa maisha mazuri

    Habari wadau. Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube. Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tanzania Inapaswa Kubadilisha Jina Lake Kuwa la Kiswahili?

    Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake. Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:- zinazohusiana: Ufaransa - Kifaransa Ujerumani - Kijerumani Hispania - Kihispania Italia -...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mapinduzi ya Elimu na Teknolojia: Njia Kuu ya Kufikia Tanzania Tunayoitaka

    Elimu na teknolojia ni misingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu katika taifa lolote. Katika muktadha wa Tanzania, uwekezaji katika elimu kwa kutumia teknolojia unaweza kuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Andiko hili linapendekeza mbinu za kibunifu ambazo zinaweza...
  13. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kuandaa watalii nje ya Tanzania

    Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi nzuri na kusambazwa kwenye shule za msingi, upili na vyuo katika bara la Ulaya, Amerika na Asia. JE...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana

    Bila mapinduzi ya elimu, Tanzania tuitakayo ni ndoto ya mchana Yapo mengi ninayoyataka nchini kwetu lakini, hatimaye, Tanzania tuitakayo itajengwa na watoto na vijana wetu na waitakayo wao. Na waitakayo wao itategemea aina ya elimu watakayoipata na kama ni elimu waitakayo kwa ajili yao, familia...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Strategies to curb global warming in Tanzania

    Title: Strategies to Curb Global Warming in Tanzania. Introduction: The United Nations (UN) 17 sustainable development goals (SDGs) which in September 2015 were agreed by world leaders aim at creating better world to live by everybody. Ending poverty, inequality and to address climate change...
  17. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 MABORESHO Bora ya Elimu Tanzania

    Wizara ya Elimu Tanzania
  18. R

    JamiiForums Tanzania Challenges faced by foreign investors with Tanzania Revenue Authority

    “AN ADVOCATE'S PERSPECTIVE” Recently, a letter from various embassies highlighted numerous challenges faced by foreign investors with the Tanzania Revenue Authority (TRA). Initially, I suspected the letter might be fictitious due to the nature of the complaints. However, my doubts were...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Developing the culture of financial saving in families in Tanzania

    Monetary savings by individuals is a crucial issue since it calls for every individual to develop personal discipline in creating savings on the earnings one gets through salaries, businesses, farming and so forth. Developing personal discipline on savings requires a consistent and focused...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mzungu ina maana ameiona Tanzania tu?

    Hii hali ipo dunia nzima kasoro mataaifa yao. Kwann Tanzania tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…