tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Magoma dhidi ya Yanga imedhihirisha umbumbumbu wa wanasheria wa Tanzania

    Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa. Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu. KWA mfano: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu ndiyo waziri anayetupa majibu kuwa hakuna uchaguzi wa haki hapa Tanzania

    Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
  3. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  4. JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

    Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa.. God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu. Hii hapa twit yake; "Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

    Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika. Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
  6. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  7. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  9. JamiiForums Tanzania Tulipo Tanzania na Tunakoelekea....Amkeni...!!

    HABARI ZA MUDA HUU WATANZANIA WENZANGU NIMEKAA NA KUTAFAKARI SANA JUU YA MSATAKABARI WA HII NCHI YETU LAKINI SIONI MATUMAINI YEYOTE. TUNAVYO VYOMBO VYA SERIKALI KAMA VILIVYO AINISHWA KATIKA IBARA YA 4 YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA 1977, AMBAVYO NI:- 1. BUNGE LA JAMHURI YA...
  10. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  11. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania mgombea Urais huru inawezekana kama ilivyowezekana Rwanda. Tujitafakari!

    Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee. Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania The future of business in tanzania: “the need for comprehensive tax reform”

    Introduction Tanzania's current tax regime, characterized by a multitude of taxes and high rates, poses significant challenges for businesses and individual entrepreneurs. The array of taxes includes Import Duty (25%), VAT (18%), Excise Duty (10%), Rail Duty (5%), Corporate Tax (30%)...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

    Huyu "alimtabiria" Mbowe kutokushinda uchaguzi kiti cha ubunge Jimbo la Hai 2020 na ikawa hivyo!
  16. B

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

    Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani. Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna na hakutatokea ngoma Kali ya Hip Hop ya kushirikiana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kuizidi MTAZAMO

    Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli! Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/= Hii ngoma iliachiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je ni mashirika gani Tanzania yanatoa scholarship for continuing students wa bachelor degree?

    Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student Thanks in advance, any...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kupitia Balozi wake USA watoe tamko la kulaani jaribio la kutaka kumuua Trump

    Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia. Ni kwa bahati mbaya hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…