tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Majadiliano ya kijamii kuhusu ununuzi wa magoli na athari zake katika soka tanzania

    Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!" Mwingine alihitaji ufafanuzi, akahoji, "Anaweza kununua magoli kisha anayauzia wapi?" Kabla ya...
  2. Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali? Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
  3. Wanaharakati wa Palestina mbona hamkupiga kelele watoto wa Yemen kufa na utapiamlo kutokana na vita ya Houthi?

    Mimi kila siku nawaambia kuwa harakati yenu sio kuhusu haki wala ukombozi wowote. Harakati yenu ni ya itikadi na chuki. Full stop. Hamkuandamana kabisaa wala kuanzisha nyuzi nyingi kumshutumu houthi kama vile mnavyo mshutumu israel. Kwa nini? Eti kisa ni Muyahudi. Hio inaprove unafiki na...
  4. Namna Tanzania Inavyoweza Kuongeza Idadi ya Walipa Kodi: Suluhisho kwa Wimbi la Umaskini na Ukosefu wa Ajira

    Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
  5. Mahmoud Thabit Kombo: Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region

    Tanzania's Minister of Foreign Affairs Hon. Mahmoud Thabit Kombo Says Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region. The region has experience sporadic attacks by militants in that area. Kombo spoke to international news editor Sophie...
  6. Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  7. Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  8. Mtiririko wa fedha haramu sekta ya madini nchini Tanzania waibuliwa

    Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa na ajira. Mchango wake uliongezeka hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutoka 7.3% mwaka 2021, na kuunda ajira takriban 19,356, wengi wao wakiwa ni Watanzania. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na...
  9. Tanzania yajiunga na mradi wa Lobito Corridor

    Mradi wa miundombinu wa Lobito Corridor, unaounganisha nchi nne za Afrika, uko tayari kutekelezwa baada ya Marekani kutoa msaada wa kiufundi kwa ajili ya utafiti wa athari za mazingira. Utafiti wa uwezekano na kusainiwa kwa mkataba wa ukodishaji pia umekamilika kwa reli mpya ya kilomita 780...
  10. Kwanini Tanzania haizalishi wakimbizi wengi duniani?

    Kuwa mkimbizi ni kutoka sehemu yako ya asili au unayoishi (comfort zone) kwenda kuishi sehemu nyingine (uncomfort zone) bila hiari yako; umelazima. Kuna aina mbili kuu za ukimbizi; kutoka sehemu zao za asili kwenda sehemu nyingine ugenini ndani ya nchi, na kutoka sehemu zao za asili kwenda...
  11. M

    Je, nikihitaji kusoma upya degree ya 2 ya HR au Public Administration, nitatumia miaka miaka 3 tena?

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023 Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya HR na Administration ila imekua ngumu lakini kwa ngazi ya serikali pia imekua ishu mpka leo nili...
  12. Mikoa mizuri ya kwenda kutoa stress Tanzania ukitokea Dar Es Salaam

    1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
  13. S

    Tanzania, nchi ya watu wastaarabu

    Kwanza nianze kwa kumushukru Mungu muumba mbingu na nchi na Yesu kristo mwokozi wetu. Naomba kutoa wito kwa viongozi wote wa selikari ya Tanzania kuongoza nchi hii kistarabu kwa sababu Tanzania ni nchi ya watu wastarabu. Watanzania siyo wajinga Wa Tanzania ni wastarabu. Wa Tanzania wamejaa...
  14. S

    Tuilinde nchi Yetu Tanzania

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
  15. Nini maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia Tanzania?

    Inawezekana nimezeeka sana au nimepitwa na wakati. Je ni yapi maoni yako juu ya uwepo wa mavazi au viatu visivyo na jinsia yaani akivaa mwanaume ni sawa na akivaa mwanamke ni sawa.
  16. Huu ni uoga wa kuibiwa mume au utani tu?

    Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
  17. Solution for Residential address verification for Payoneer account in Tanzania

    Hellow nipo DAR ES salaam, Tanzania ninaomba Msaada (Guidance) WA kupata documents zinazokubalika kufanya verification ya residential address kwenye account ya payoneer, Nimejaribu bank statement imekuwa rejected na payoneer system Kwasababu inaonesha P.O.BOX Address, email yangu ni...
  18. Maandamano ya Kwanza ya Waislam Dhidi ya Serikali ya Tanzania 1993

    https://youtu.be/54VeeqGdKSM?si=NBeY8vML9_8vFrmY
  19. Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  20. Tofati ya Tanzania na Kenya katika Elimu, Mtindo wa Maisha, Siasa na Uwezo wa Kufikiri

    Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na fikra huru. Hii inawawezesha Wakenya kufikiri kwa kina na kuchukua hatua zinazoendana na maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…