tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uelekeo wetu, viongozi wetu na tulipofikia: Tanzania au TANZIA?

    Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....! Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021! Ni mengi tumepitia hii nchi toka 2015_2024! Nilichogundua 1) Wananchi wanaipenda nchi yao, ila viongozi wengi hawana mlengo huo! Wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Transhumanism na post humanism itawahi kutia mguu Tanzania?

    Kwanza kabisa nianze kwa salamu Ndugu watanzania mpaka hapa tulipofikia, tayari tunaishi na makundi matatu ndani ya nchi moja licha ya kudai kuwa sisi ni wamoja Kundi la kwanza ni hawa jamaa wanaotumia lugha ya kiasili katika kuhifadhi silka za kupambania uhai, hapa mila na desturi za makabila...
  3. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tusitumie Haki za Binadamu Kuharibu Utamaduni wa Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuiga utamaduni wa watu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha Haki za Binadamu. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo, Septemba 20, 2024 katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma wakati akifungua...
  5. JamiiForums Tanzania TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
  6. F

    JamiiForums Tanzania GEN_ wananyoosha Kenya, wasiojulika wana run Tanzania

    GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na bibi wa Ben Saanane, walikuwa juu kabisa kwenye wingu la tisa, kwa furaha. Uhuru ni chemchemi ya utu...
  7. JamiiForums Tanzania Utalii Tanzania

    Friday, September 20, 2024  In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a recovery but, in some cases, a significant out performance compared to pre-pandemic levels. Among...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yatunukiwa Tuzo ya Ubora wa Usalama wa viwanja vya Ndege Kimataifa

    Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi zenye viwanja vya ndege vyenye ubora wa usalama duniani. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

    Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo tarehe ya jana yaani 19/9/2024 alitekwa na mtu aliyembeba kama abilia ila inasemekana hakuwa abilia bali...
  10. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  11. JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba mkubwa wa wachambuzi wa hotuba, watu wanategemea wanasiasa

    Ombwe kubwa la wachambuzi na wabobezi wa hotuba linapelekea kila mmoja kutoa tafsiri kwa utashi wake na mrengo wa aliko egemea maana wanao jikita kutaka kuchambua wengi wana mirengo ya kisiasa lazima avutie kwake. Tumesikia hotuba bora ya kufunga mwaka ilivyojadiliwa kutafsiriwa kiupande mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

    Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za elimu katika taifa letu la Tanzania

    "kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:- 1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala zima la ujezi wa vyumba vya madarasa pamoja na ujenzi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Kenya na Uganda zajipanga kuwa na umeme wa nyuklia, Tanzania tumejipangaje?

    Rwanda wanampango mpaka 2026 wawe wanafua umeme kupitia nyuklia, Uganda pia wanampango mpaka mwaka 2040 wawe wana uwezo wa kuzalisha umeme kupitia nyuklia, Kenya wao ni mpaka 2035. Sisi tumejipanga vipi? Ukweli ni kwamba umeme wa nyuklia huwa ni bei rahisi sana kuuendesha na pia unatoa umeme...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Nini sababu ya shinikizo la vitendo vya kikatili nchini Tanzania Kwa Sasa?

    Nimejaribu kutafakari mnoo swala hili la matukio ya kikatili nchini hususani mikoani Dodoma😭 majibu kamilifu sina. Ila Mimi naona kwa sector ya masuala ya Imani kumelegea mno🥲. Watu hawana tena hofu ya Imani zao yaani Mungu 😒 kwa sababu kwa matukio haya. Kwa kweli Watanzania hofu ya Mungu...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris hatoshinda uchaguzi mkuu ila atatangazwa kama mshindi

    Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024. Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  20. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Mwaka 1985 Scotland Yard walikuja Tanzania kuchunguza BOT na 1990 walikuja Kenya kifo cha Waziri Dr Robert Ouko

    Tujikumbushe matukio muhimu yaliyotokea hapo awali ktk nchu yetu na majirani zetu Pia. Pamoja na mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu msala huu wa Utekaji, utesaji, upoteaji na mauwaji ya Raia ambayo yameshika kasi ktk nyakati hizi ni wazi sasa tunaweza kuswma yafuatayo. 1. Mh Rais Amiri Jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…