tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  2. Je inawezekana mtu ambae aliwahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenda kugombea urais huko zanzibar?

    kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona. Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
  3. Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani zina shida, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni

    Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu...
  4. Uwezekano wa 1 USD kufika 2600+ Tanzania Shilling kabla ya mwisho wa mwezi, Technical analysis.

    Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni circulation factors Kwa maana ya bank kuinject more $ on circulation, na fact nyinginezo ambazo ni mbali na...
  5. M

    Karibu tufanye biashara ya vitenge Jumla na Rejareja. Mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

    Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
  6. W

    Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  7. Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  8. Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

    Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
  9. Je mahakama zetu ni adui wa HAKI? Je rais ni Mungu wa Tanzania?

    Habari wanabodi Nimefuatilia kwa kitambo sana mwenendo wa mfumo wa sheria na utawala nchini kwetu, nimekuja kupata swali linalonipa ukakasi sana sana KWa tukio la juzi kukamatwa usiku wa manane Dokta W. Slaa na namna tuhuma dhidi yake kwamba upelelezi haujakamilika inaleta picha ya namna vyombo...
  10. Kuna nini kinaendelea sasa Tanzania kiasi kwamba 'Calculators' zinanunuliwa kwa Wingi mno na Mashabiki wa Yanga FC?

    Kuna Mtu nimemtuma kuja Dar es Salaam kunifungia Mzigo wa Calculators ili nizilete hapa Kampala Uganda niziuze kwani zina Soko naambiwa kwa Wiki hii nzima hazipatikani Madukani kote kwa Kununuliwa kwa Fujo (kwa Wingi) na Mashabiki wa Yanga FC. Kwani kuna nini Kinaendelea huko Bongo?
  11. Makabila yenye tabia ya Ubahili wa Kifedha kwa Wanaume Kikanda au Kimikoa hapa Tanzania

    1. Wapare 2. Wakinga 3. Waha 4. Wagogo 5. Wachagga 6. Wakurya 7. Wajita 8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani Naomba kuwasilisha Pang Fung Mi
  12. S

    Ni Tanzania pekee Polisi wanakukamata halafu ndio wanaanza kutafuta wakufikishe mahakamani kwa kutumia sheria gani!

    Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria? Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
  13. Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  14. PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  15. Jemedari: Camara na Diarra waondoke Tanzania

    "Naendelea kusisitiza sitaki makipa wa nje na wachezaji wa nje wapunguzwe kutoka 12 hadi wabakie 5. Kilichoitokea Kilimanjaro Stars kule Zanzibar ndio uhalisia wa soka letu". JEMEDARI SAID, Mchambuzi CROWN FM My intake: Mbona ukiwaza nje ya box kama Kuna ukweli mkubwa 1. Itasaidia kuwapa...
  16. Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

    Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu. Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu. Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
  17. Ni kweli wakulima wa kahawa Uganda wananeemeka kuliko wenzao wa Tanzania?

    Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda. Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya. Pamoja na...
  18. B

    PreGE2025 Kijana Mzalendo CCM: Tundu Lissu na Heche Ndio Majabali wa siasa Tanzania, ni Game Changers. Wananchi wote tuwaunge mkono bila kujali vyama

    Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija. Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania lakini moja ktk mahojiano yake yamevuta Attention Kubwa Nchini. Kwanza izingatiwe kuwa huyu si...
  19. A

    CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe. Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
  20. U

    Kisiwa cha Greenland kina ukubwa zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Takwimu sahihi kabisa Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300 Usiku mwema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…