tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  2. JamiiForums Tanzania Wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania

    Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine. Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala...
  3. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco .sana sana kazi za mashirika ya kimataifa . Utambuzi wa UNESCO unaonyesha kwamaa chuo kinatoa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

    Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia.. Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini. Naomba tuwe...
  5. JamiiForums Tanzania Mnataka Stars Ishinde na Kwenda AFCON? Ondoeni Siasa na Kampeni Zenu Mchezo Huo

    Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja. Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli. Wachezaji...
  6. JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  7. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu Tanzania 0- Guinea 2

    Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge. Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango mnachosifu Taifa,Taifa kuingia matopeni leo.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Botswana, Senegal wameweza mageuzi, lini Tanzania upinzani utashinda?

    Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

    Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo. Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

    Hello hello! Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na haya. Uokoaji hafifu, duni wenye vitu hivi 1. Hakuna vifaa 2. Waokoaji sifuri 3. Raia wa kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hivi rushwa kwa Matrafiki barabarani imeshahalalishwa Tanzania?

    Matrafiki hapa dar wanachukua rushwa balaa kwenye daladala na hawaogipi tena. Wanachukue buku mbili mbili hadharani kabisa bila woga na wameachiana idadi ya magari kwamba wewe tunakupa magari labda 40 kwa siku na yule atachukua elfu mbilimbile magari 50 na wanaachiana kabisa. Kidogo wanaogopa...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

    Match Day. KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO Mpira ndio unaanza sasa. Updates Game on 05' Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia. Tanzania wanatawala game. 06' Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa, Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha. Namna gani...
  20. JamiiForums Tanzania Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…