tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  2. Sihami TANZANIA kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Sihami TANZANIA kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  3. BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  4. Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

    Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
  5. R

    Sikiliza long term effects za mjazano wa wachina Tanzania na Afrika in general ambazo huwezi kuzigundua kwa sasa

    sikiliza clip hii kama hitafutwa..... kuna maafa makubwa yanakuja huko mbeleni hali hii isipodhibitiwa mapema
  6. China fisadi ananyongwa Tanzania fisadi anatamba

    Kwa hali hii mwizi wa kuku anapigwa miaka 2 jera fisadi anatamba unategemea nn Tutaishia kuwa masikini
  7. Ni kweli Tanzania ni nchi ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya, Rwanda na Uganda? Nini kifanyike?

    Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya Uganda Rwanda Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU? Je ni matokeo ya ujamaa? Je ni hofu za wanasiasa? Je sisi ni vilaza na...
  8. T

    PreGE2025 Kuboresha Uchaguzi wa Viongozi Tanzania: Mfumo wa kielelezo cha sifa jumla (TQI)

    Utangulizi Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii. Ili kukabiliana na matatizo haya, mfumo wa kuchagua viongozi unahitajika. Kielelezo cha Sifa Jumla...
  9. Sababu Kuu Za utekaji Nchini Tanzania

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  10. Godbless Lema, The New Kinana in Tanzania Politics!! Salute kwake!!

    A man to watch, Godbless Lema!! Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana. Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini...
  11. Hivi mnaoanzishaga hizi Online TV's Tanzania huwa mnakuwa mmefanya Utafiti wenu wa Kutosha au ni Kukurupuka tu kisha baadae mnakuja Kuaibika?

    Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
  12. Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

    Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco. Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6. Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco? Mchezo...
  13. Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

    Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
  14. Mfumo wa kuwasilisha maombi ya kazi Jeshi la polisi unasumbua sana

    Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako unakuandikia hv na muda unazidi kwenda sasa sijuhi wenye mamlaka wanawaza Nini kuhusu kadhia hii ya mfumo wao?
  15. R

    Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  16. Tofauti ya biashara hapa Tanzania kuweka bei iliyobandikwa hawataki

    Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi. Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
  17. Profesa Anna Tibaijuka: Mgombea Mbinafsi aruhusiwe katika Chaguzi za Tanzania

    Akigusia siasa nchini Tanzania, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema mfumo wetu kwa sasa unatambua wagombea kutokana na vyama vyao ni wakati sasa mfumo uruhusu wagombea binafsi Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini...
  18. PreGE2025 Kuduishe Kisowile (Kudu_ze_Kudu): Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja, kajiandikishe upate nafasi ya Kupiga Kura

    Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja! Jiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Kupiga kura ili kushiriki kikamilifu katika Demokrasia. Dkt. Kuduishe Kisowile Influencer wa Mtandaoni (Kudu_ze_Kudu)
  19. Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Nkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
  20. Umuhimu wa vijana Kushiriki Katika Siasa Nchini Tanzania

    wadau wanapendekeza na kusisitiza vijana kujengewa uwezo zaidi ili washiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi wa kisiasa kwa kujitokeza zaidi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na pia, kushiriki katika mikutano ya kampeni na hata siku ya uchaguzi wajitokeze kupiga kura. Tafiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…