tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Call Center Intern (Tele Sales Graduate Trainee) Job Vacancy at Taifa Gas Tanzania Limited February 2025

    Taifa Gas Tanzania Limited (TAIFA GAS) started as Mihan Gas Company Limited (MIHAN GAS). The company was incorporated in the United Republic of Tanzania in 2005 with certificate of incorporation number 52508, as a limited company under the Companies Ordinance (Cap 212), The Company spent two...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za AJira - ECOACT TANZANIA LTD

    MARKETING OFFICER JOB VACANCY About EcoAct Tanzania Limited ECOACT Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change. We recycle and transform plastic wastes and packaging...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania imeanzisha Majaribio ya Ujenzi wa Barabara kwa Teknolojia ya Armarseal

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeanzisha miradi ya majaribio (pilot projects) kwa ajili ya matumizi ya teknolojia mpya katika ujenzi wa barabara ikiwemo Armarseal. Teknolojia hii inalenga kuboresha uimara wa barabara na kupunguza gharama za matengenezo ya mara kwa mara. Moja ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  7. JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi katika kumbukumbu Rais Samia ameirejesha Diplomasia ya Tanzania Kimataifa!

    Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi. Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia. Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kina John wamefanikiwa sana kuingia kwenye Siasa na Serikali Tanzania, nini siri ya jina John?

    1. John Kijazi 2. John Magufuli 3. John Heche 4. John Mnyika 5.John Kaijage 6. John Kitwanga 7............. Aliyepata hasara ni John Babptist tu. Kama una akina john wengine wataje
  10. JamiiForums Tanzania Relationship Officer II – 4 Posts at Tanzania Commercial Bank February 2025

    Summary: Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products with a vision “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient financial...
  11. JamiiForums Tanzania Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mwanasiasa Tanzania wa kuweza kumkabili Rais kama hivi?

  13. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

    Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max . Nawapenda Sana Ila mwisho na sio...
  16. JamiiForums Tanzania Maswali gani huulizwa nafasi ya accounts officer ii, Tanzania Aviation Authority?

    Salamu wana jukwaa wenzangu. Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview hizi za taasisi za serikali.
  17. JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni

    Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya...
  18. JamiiForums Tanzania Hamdi, Kocha wa Yanga aanza na malalamiko baada ya suluhu na JKT Tanzania

    Hamdi Kocha wa Yanga "Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni" "Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
  19. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

    Mechi ilikuwa nzuri Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri Hii inathibitisha ubora wa ligi Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wanawake kumi (10) mashujaa na viongozi bora kuwahi kutokea Tanzania

    10. Liti Kidanka. Mzaliwa wa Singida Tanganyika miaka ya 1860 na mwaka 1903 aliongoza majeshi ya jadi dhidi ya uvamizi wa Wajerumani hadi mwaka 1907 ambapo alikatwa kichwa na Wajerumani na mpaka leo hii fuvu la kichwa chake liko huko Ujerumani. Aliunganisha watu na alitumia nyuki kupambana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…