tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  2. JamiiForums Tanzania MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  4. JamiiForums Tanzania Regional and International Wholesale Account Manager at Yas Tanzania

    Regional and International Wholesale Account Manager Let’s grow together and become our Regional and International Wholesale Account Manager. Qualifications: Bachelor’s Degree in Marketing, Business Administration, or related fields. Minimum 5 years of experience in account...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is light years ahead of Kenya believe it or not!

    The difference starts right at Namanga. Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ TZ Roads are clearly marked. Milestones, lanes, speed limits. Which Roads have Milestones in Kenya. Zero. Lanes are...
  6. JamiiForums Tanzania CONGO DR haijapakana chochote na Tanzania?

    Aman kwenu watumishi wa MUNGU Ni swali ambalo nauliza ? Je Tanzania hatuna mpaka na kongo hakuna mkoa ambao unapakana na Kongo? Asante SAYUNI BOY
  7. JamiiForums Tanzania Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

    Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa? Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan. Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  9. JamiiForums Tanzania Global Peace Foundation (GPF) Tanzania Wazindua Mradi wa Jamii Shirikishi Katika Uzalendo na Ulinzi

    "Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~ Mh Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi. "Sisi kama viongoizi hatutakuwa vikwazo, na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania mshawishini Trump arejeshe misaada

    Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moja ya mtaji mkubwa sana wa CCM ni sera ya ardhi ya Tanzania

    Baada ya mwaka jana chama cha ANC kupata kiasi cha asilimia 40 tu ya kura, mwaka huu wamekuja na sera ya kuwezesha kufanyika land redistribution. Kwa miaka yote wazungu wachache wa SA bado walikuwa wanashikilia asilimia 70 ya ardhi yote ya nchi hiyo. Serikali ya ANC kushindwa kuwapatia ardhi...
  13. JamiiForums Tanzania CHIMBO LA VIFARANGA TANZANIA

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  14. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaanza rasmi safari zake Mtwara - Dar

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki. Akizungumza Februari 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa safari za ndege hiyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  16. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  20. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…