tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  2. JamiiForums Tanzania Sifa 10 za watu sahihi wa kushirikiana nao katika biashara ya ardhi na majengo hapa Tanzania

    Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
  3. JamiiForums Tanzania Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Hivi mfano hapa Tanzania tuseme kila mtu alie juu ya miaka 18, aende jela kwa makosa aliowahi fanya, jela zitatosha?

    Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya mapenzi na wanafunzi 2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency 3)Forgery 3)Kuzini na maharimu 4)Wizi...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

    Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam. Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
  7. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kwa Raia wa Tanzania kwa Shahada ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vya India kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026"

    Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SHILLINGI YA TANZANIA INAVYOZIDI KUSHUKA KWA KASI YA AJABU

    Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  11. JamiiForums Tanzania Sihami TANZANIA kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Sihami TANZANIA kabisaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  12. JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

    Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza long term effects za mjazano wa wachina Tanzania na Afrika in general ambazo huwezi kuzigundua kwa sasa

    sikiliza clip hii kama hitafutwa..... kuna maafa makubwa yanakuja huko mbeleni hali hii isipodhibitiwa mapema
  15. JamiiForums Tanzania China fisadi ananyongwa Tanzania fisadi anatamba

    Kwa hali hii mwizi wa kuku anapigwa miaka 2 jera fisadi anatamba unategemea nn Tutaishia kuwa masikini
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania ni nchi ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya, Rwanda na Uganda? Nini kifanyike?

    Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya Uganda Rwanda Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU? Je ni matokeo ya ujamaa? Je ni hofu za wanasiasa? Je sisi ni vilaza na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuboresha Uchaguzi wa Viongozi Tanzania: Mfumo wa kielelezo cha sifa jumla (TQI)

    Utangulizi Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii. Ili kukabiliana na matatizo haya, mfumo wa kuchagua viongozi unahitajika. Kielelezo cha Sifa Jumla...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Za utekaji Nchini Tanzania

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  19. JamiiForums Tanzania Godbless Lema, The New Kinana in Tanzania Politics!! Salute kwake!!

    A man to watch, Godbless Lema!! Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana. Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mnaoanzishaga hizi Online TV's Tanzania huwa mnakuwa mmefanya Utafiti wenu wa Kutosha au ni Kukurupuka tu kisha baadae mnakuja Kuaibika?

    Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…