tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri Kombo akutana na Waziri wa Ulinzi Dkt Tax

    Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
  3. JamiiForums Tanzania SIJAJUA NAWAZA, AU NAFIKIRIA AU NI NDOTO KWAMBA KWA TANZANIA INGEKUAJE KWA MFANO'

    Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme. Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama Trump, kwa ubabe tu, anadai aichukue Greenland ya Denmark, anaweza kudai aichukue Zanzibar ya Tanzania. Hilo lazima litazamwe

    Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

    Wamasai - Tanzania na Kenya. Wakurya - Tanzania na Kenya. Wajaluo - Tanzania na Kenya. Wanyamwanga - Tanzania na Zambia. Waha - Tanzania na Burundi. Wachagga - Tanzania Peke yake. Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee?? Au mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  8. JamiiForums Tanzania Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  9. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  10. JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  12. JamiiForums Tanzania Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

    Kama nchi inataka kuondokana na umaskini ni vizuri yakafanyika maamuzi ya kibingwa ni pamoja na kujenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication kwa sababu zifuatazo Vifaa vyote vya electronics vina PCB kama ubongo Na pia silicon wafer zinatumika kwenye vifaa vya electronics kuprocess data...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  15. JamiiForums Tanzania Sifa 10 za watu sahihi wa kushirikiana nao katika biashara ya ardhi na majengo hapa Tanzania

    Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Hivi mfano hapa Tanzania tuseme kila mtu alie juu ya miaka 18, aende jela kwa makosa aliowahi fanya, jela zitatosha?

    Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya mapenzi na wanafunzi 2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency 3)Forgery 3)Kuzini na maharimu 4)Wizi...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

    Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam. Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
  20. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kwa Raia wa Tanzania kwa Shahada ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vya India kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026"

    Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…