tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. PreGE2025 Waziri Ulega: Miaka michache ijayo Tanzania itajitegemea kikamilifu utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika hafla ya Jukwaa la Fikra iliyofanyika tarehe 22 Juni 2025 katika...
  2. GE2025 Money VS Power: Siri ya Matajiri na Watu maarufu kuutaka Ubunge Tanzania

    HELLO JF Wiki hii kumekuwa na wimbi kubwa la watu maarufu na matajiri kukimbilia kuchukua fomu za kugombea ubunge, jambo lililoibua mijadala mitandaoni huku wengi wakiuliza: "Kuna siri gani kwenye Ubunge?" Inawezekana sababu mojawapo ni uchu wa kuwatumikia wananchi, lakini ukweli ni kwamba...
  3. Tanzania yashinda tuzo ya " Word Best Tourism Destination Award"

    SERENGETI, ZANZIBAR, KILIMANJARO MIONGONI MWA WASHINDI WAKUU WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA DUNIA ZA MWAKA 2025 DAR ES SALAAM, Juni 29 (Xinhua) – Tanzania imeibuka kuwa lulu ya utalii barani Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za Mwaka 2025, zilizofanyika Jumamosi usiku katika jiji la...
  4. Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  5. Siasa za Tanzania zinafikirisha

    Nawasalimu wanabodi. Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza. Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
  6. Wanasiasa wanaongea tu na kujiongelesha ila miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko hapa Tanzania.!

    Huwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Tanzania na ahadi zao najua kabisa hawa wanababaisha tu. Miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko kwa wananchi . Labda kama mnazungumzia kujenga barabara, matundu ya chooo vyumba Vya madarasa na zahanati. Ila mabadiliko yenyewe ambayo yanaweza kuitoa nchi kwenye...
  7. PreGE2025 Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha achukua fomu kuwania ubunge Kinondoni

    Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
  8. Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  9. R

    Usimamizi wa 'Mikopo ya Dharura kupitia simu' nchini Tanzania

    Utangulizi Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
  10. M

    Wito kwa Dini na Madhehebu yote Tanzania.

    Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu. Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
  11. Tanzania na Alma wasaini mkataba wa uenyeji

    TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa Uenyeji (Host Agreement) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Juni 28, 2025. Uwekaji saini huo...
  12. W

    Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  13. Ukitaka Kuishi Tanzania kwa Aman Fanya yafuatayo

    1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe 2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu 3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa 4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya...
  14. Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

    Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida. Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje...
  15. Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
  16. Kuipenya Law School of Tanzania (LST) – Hizi Ndizo “Code” Zilizoniokoa, Huenda Zikakuokoa Pia

    Ndugu zangu wanaojiandaa kuingia Law School of Tanzania (LST), baada ya kuona post ya mdau Koskey akiomba msaada kuhusu jinsi ya “kutoboa” Law School of Tanzania, nimeona ni vyema kuchangia kutoka kwenye uzoefu wangu binafsi nikiwa kama moja ya wanafunzi waliofanikiwa kufaulu moja kwa moja...
  17. Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  18. Tanzania tunatakiwa tubrand chips mayai

    Kuna mnigeria amekuja Tanzania amesema moja ya vyakua alivyovipenda chips mayai ni kimoja wapo Kwanini kama nchi tusibrand vyakula kama chips mayai yaani kikafanyiwa maboresho kwenye kupikwa yaani kukawa na standard ya kupika chips mayai CHIPS MAYAI INAJUMUISHA VIAZI AMBAVYO NI CARBOHYDRATES...
  19. BASATA yafuta kibali cha kampuni inayoendesha Shindano la Miss Tanzania

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kuifutia rasmi Kampuni ya The Look Company Limited leseni ya kuendesha shindano la Miss Tanzania, Uamuzi huo umetolewa baada ya kampuni hiyo kushindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kwa nyakati tofauti kupitia...
  20. Ntaifanya Tanzania kuwa safi na yenye ustaarabu mkubwa sana

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAIFANYA TANZANIA KUWA SAFI NA YENYE USTAARABU MKUBWA Ukweli ni kwamba watanzania sio wastaarabu na wasafi kwa asilimia kubwa sana, wanatakiwa kufundishwa ustaarabu;- Kila chombo cha habari au social media account wanatakiwa watenge dakika kumi mpaka kumi na tano kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…