tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Naomba kujua vyuo vikuu vinavyotoa elimu online hapa Tanzania tofauti na Open University
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama anajiamini kwanini hakuchukua fomu ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi?

    1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Samia: Documentary Yaleta Mzozo

    Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa rasmi na mtangazaji wa Clouds FM, Meena Ally, ambaye pia ni miongoni mwa waliopata nafasi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Shirika La Reli Tanzania (TRC)

    Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri. Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa. Kwa mara zote...
  7. JamiiForums Tanzania AI Zinazotumika Zaidi Ulimwenguni Mwaka 2025, Unajua kwa hapa Tanzania ipi inaongoza?

    ChatGPT ndio inayoongoza kwa matumizi ya AI kote ulimwenguni mwaka 2025, ikiwa na alama ya jumla (Final score) ya 0.81 na watu zaidi ya mara bilioni 46.59 wanaoitembelea kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa asilimia 48.36% ya soko zima la matumizi ya akili mnemba (AI) linamilikiwa na ChatGPT. Maoni...
  8. JamiiForums Tanzania Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania. Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine Britanicca
  9. JamiiForums Tanzania Kama yanayosemwa ni kweli Tanzania ndio nchi inaongozwa kutafunwa

    Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana. Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  11. JamiiForums Tanzania Technology

    Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania Unayaongleaje majina yafuatayo katika siasa za Tanzania?

    Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk, utawaelezeaje? Julius Kambarage Nyerere, Abeid Aman Karume, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wasafirishaji Mizigo:Ujerumani kwenda Tanzania

    Habari Zenu Wadau: Naomba kufahamu anayejua yeyote anayehusika na usafirishaji Mizigo kwa Ndege na au Meli kutoka Germany kwenda Tanzania. Asante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…