tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO Ujenzi wa barabara ya Liwale–Nangurukuru kwa kiwango cha lami unasuasua, kipande cha Liwale–Chonya kimesimama

    Ujenzi wa barabara ya Liwale kuelekea Nangurukuru yenye urefu wa takribani kilomita 230, inayojengwa kwa kiwango cha lami, unaendelea kusuasua huku ujenzi wa kipande cha tatu cha Liwale–Chonya chenye urefu wa kilomita 76 ukisimama kabisa. Katika awamu ya kwanza ya kipande hicho, inayohusisha...
  2. H

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    TANROADS ikamilishe usanifu na maandalizi ya kitaalamu ya barabara za kipaumbele Msalala, Ushetu na Kishapu. Serikali itakapoanza kupokea miradi mipya, maandalizi ya barabara hizi yawe yamekamilika. Kipaumbele chetu ni barabara zinazofungua maeneo ya uzalishaji. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶...
  3. Mkalukungone Mwamba

    TANROADS Yatoa wito wa usalama barabarani wakati wa ujenzi wa barabara ya Chamwino–Dodoma

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatoa wito kwa watumiaji wote wa barabara na wananchi kwa ujumla kuzingatia tahadhari za usalama kufuatia kuanza kwa kazi za ujenzi wa barabara ya Chamwino–Dodoma yenye urefu wa kilomita 32. Kazi za ujenzi zimeanza katika eneo la Ihumwa, ambapo kutakuwa...
  4. Roving Journalist

    TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
  5. Roving Journalist

    Kadogosa amuondoa Meneja wa TANROADS Songwe kutokana na kusuasua kwa upanuzi wa Barabara Tunduma

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemuondoa katika nafasi yake Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Songwe Mhandisi Fredrick Mande, na kumtaka kurejea makao makuu ya TANROADS, kufuatia kushindwa kusimamia ipasavyo mradi wa ujenzi wa barabara ya Forodha - OSBP - Tunduma yenye...
  6. A

    KERO Vyuma vilivyopo barabarani eneo la Waterfront vimekuwa chanzo vya maumivu kwa Watu, TANROADS mbona hamshughulikii?

    Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha barabara kuu na service road hazina alama juu ya uwepo wake. Hii sehemu imekuwa chanzo cha kuumiza watu...
  7. R

    TANROADS watu wanajenga kwenye road reserve are mnawaangalia. Wekà beacon za mwisho wa roas reserve from Tanga to Pangani kama za Magufuli.

    This is the second call. Kesho mtawabomolea watu maana hawa ui mwisho wa road reserve ni upi. Nilishaandikia humu as a wake up call kuepusha migogoro ya kesho. Watu wanajenga petrol station kwenye road reserves!
  8. Roving Journalist

    Madai ya Mkandarasi Mwalyambi kutolipwa, TANROADS yasema 'Serikali haiwezi kufanya malipo kwa msingi wa madai bila kazi husika kuthibitishwa'

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
  9. A

    KERO Majengo yetu Ubungo Riverside (Dar es Salaam) yanaoza tangu 2020, TANROADS wamezuia kuendeleza, tunazidi kupata hasara

    Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside). Eneo hili la kibiashara, nina nyumba yangu halali yenye hatimiliki ya uwekezaji ikiwemo biashara na makazi...
  10. Roving Journalist

    TANROADS: Zoezi rasmi la tathmini upanuzi wa barabara ya Kibaha - Morogoro litaanza Agosti 2026

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie" TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
  11. A

    KERO Responded TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie

    Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi! Ni miaka...
  12. Roving Journalist

    RESOLVED TANROADS: Taa za Kuongozea magari Biafra, Kinondoni zinafanya kazi, ikitokea hitilafu ya umeme zinapata changamoto

    Taa za Kuongozea magari zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni zimeanza kufanya kazi baada ya kuwa na changamoto ya kutowaka, hali ambayo ilisababisha Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa hali hiyo ni hatari kwa watumiaji. Taarifa ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeeleza “Taa hizo...
  13. Roving Journalist

    TANROADS: Tutafunga kamera za kificho na za wazi barabara za Kigoma ili kudhibiti uharibifu wa miundombinu

    Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kigoma imetoa rai kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa miundombinu ya barabara kushiriki kikamilifu katika kulinda na kutunza miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kuendelea kuwa salama kwa watumiaji. Rai hiyo...
  14. A

    KERO Tanroads na Mkandarasi wa Barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji Kushindwa Kutekeleza CSR badala yake kusababisha Kero kwa Wakazi wa Mtaa wa Tumaini

    April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi. Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
  15. Roving Journalist

    TANROADS: Ni kweli Mkandarasi wa Mradi wa Mwendokasi Mwenge - Tegeta anasuasua, Serikali imechukua hatua za Kimkataba

    Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi? UFAFANUZI WA TANROADS: Serikali kupitia TANROADS inatambua...
  16. A

    DOKEZO TANROADS Engineering Consulting Unit (TECU) inahitaji reforms. Ufanisi wa kazi hakuna na Watendaji tunadai malimbikizo ya mpaka miezi 10

    TECU imekuwa kichaka cha mameneja wa Mikoa na baadhi ya watu kutoka TANROADS HQ kujinufaisha, wamekuwa wakiweka figisu miradi mingi isimamiwe na TECU ili waendelee kupata fedha bila kazi. Private Consultants wanakosa kazi na TECU (ukiachana na walioajiriwa kwa mikataba) wale inhouse wanawekwa...
  17. A

    KERO TANDROADS mkoa wa Pwani, vipande vya barabara visivyo na lami Ikwiriri-Mkuranga ni hatari

    Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka. Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya kutokea kwa ajali. Tafadhali wekeni vibao vya usalama na tahadhari katika maeneo hayo ikiwa...
  18. Roving Journalist

    Mtendaji Mkuu TANROADS atembelea Mradi wa Uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Mei 16, 2026 ametembelea mradi wa uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu unaosimamiwa na Ofisi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara. Katika ziara hiyo, Mhandisi Besta amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi...
  19. A

    KERO TANROADS haiwalipi wafanyakazi wa TECU

    TECU imekuwa kama sehemu wa vigogo wa TANROADS kujinufaisha ndo maana miradi yote mipya wanafanya figisu ili isimamiwe na TECU ambayo inaleta conflict maana Client ndo huyo huyo Consultant. Mameneja wa mikoa ndo wanaamua nani wampeleke mwenye miradi na wao ndo ma Project Manager wanalipwa ili...
  20. N'yadikwa

    Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Afya & TANROADS, ingilieni kati hali ya vumbi jiji la Mbeya kabla haijageuka janga la afya ya umma

    1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa. 2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
Back
Top Bottom