tangazo

  1. G

    Majina haya kwenye tangazo hili yakupa picha gani kwa Tanzania ya sasa?

  2. AbuuMaryam

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    NAFASI: FUNDI WA AIR CONDITIONING (AC) & REFRIGERATION. Kampuni yetu VGK, inatangaza nafasi ya kazi kwa Fundi wa AC mwenye sifa zifuatazo: Sifa za Mwombaji: 1. Awe na cheti cha ufundi wa AC/REFRIGERATION (VETA/NACTVET au taasisi inayotambulika). 2. Awe na uzoefu wa kazi ya ufungaji...
  3. M

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Hakuna kipindi kizuri cha kusoma kwa utulivu kama baada ya kuhitimu chuo, hasa ikiwa lengo lako ni kuajiriwa kwa kupass written interview. Kujisomea baada ya kuhitimu kunaweza kuwa hobby kwasababu hakuna presha ya mitihani, hakuna deadline na hutapoteza muda kwenye masomo ya ziada yasiyohusiana...
  4. Itovanilo

    Tangazo la biashara ya mbao

    Habari jamii forum. Kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo Jirani . Tunauza mbao aina ya mtiki (tirky) Kwa vipimo vifuatavyo, Urefu wa mbao karibu zote ni Cm 270 yaani futi 9. Kwahiyo mauzo ni, Ujazo ni cm 6 yaani inches 2 na nusu Hivyo mauzo na bei ni kama ifuatavyo 2×5=25000/-...
  5. SirAlfred006

    TANGAZO TANGAZO

    Jiangalie na Uangalie umpendaye!
  6. N'yadikwa

    Hili tangazo la MUNIO sijui nini station sisi wahehe hatupendi

    Ni matusi makubwa sana kuna kituo cha televisheni kila baada ya mechi za ligi kuu Tanzania bara wanaweka tangazo la kituo cha mafuta kinaitwa MUNIO yaani sisi Wahehe, wajukuu wa Mkwawa Mkwaaviinyika hilo ni tusi kubwa sana!!! Badilisheni jina!
  7. Beira Boy

    Maono: nimemuona makam wa rais John dejembi akitoa tangazo alikuwa amekaa kwenye kiti

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeona John dejembi akitoa tangazo Asante sana Ni maono ngoja tuyasubili SAYUNI BOY
  8. M

    Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

    Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
  9. Hismastersvoice

    Tangazo la TLPGA halitufaidii watumiaji wa gesi ya kupikia

    Tangazo linalotolewa na chama cha waingizaji wa gesi ya kupikia(TZLPGA) haitatui matatizo yanayotupata watumiaji wa gesi ya kwenye mitungi ikiwemo ujazo na ubora wa vichomea(burner). Vichomea vilivyopo mitaani ni vya viwango vyachini pamoja na uwepo wa TBS na Tume ya Ushindani, vingi yya vifaa...
  10. Yoda

    Kwa Wakristo ni lazima kutumia 2 Timotheo 4:7 kwenye tangazo la kila Mkristo aliyefariki ?

    "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda"
  11. Zerock

    “Sitasahau Kazi Niliyoipata ya Kuuza Vyombo Mtaani

    Nakumbuka siku moja nikija kwenye msoto na ukata + jobless,nimekaa zangu nasikiliza redio flan kipind cha michezo. Mara likatolewa TANGAZO LA KAZI,nikaona fursa hii hapa,nikanakiri zile namba. Baada ya kumaliza kipindi cha michezo nikaamua kuipiga ile namba....mara nikasikia saut ya...
  12. kiredio Jr

    Tangazo la kupotea Kwa Bi. Eda Seme

    Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara. Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika jina lake anaitwa Eda Seme. Tafadhali unapomuona piga namba hii 0784325989/ 0683460400 kwa mawasiliano.
  13. Tembele

    Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  14. Benbulugu

    TQNGAZO,

    kwa wenye uhitaji wa housegirls, shambaboys,wenye utiifu na uwajibikajikuanzia miaka 18 nakuendelea , contact us delivery ni Tanzania yote kwa uaminifu mkubwa!!
  15. Waufukweni

    Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  16. Tanzania Railways Corp

    Tangazo la treni maalumu kwaajili ya nanenane

  17. AbuuMaryam

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  18. Isenye

    Hawa jamaa haipiti siku sijakutana na tangazo lao la kazi,huwa wana matatizo gani mpaka wafanyakazi wanawakimbia?

    Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
  19. mbalila

    Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai

    Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai na metical attendant Kituo cha kazi Dar es salaam Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  20. Tanzania Railways Corp

    TANGAZO

Back
Top Bottom