tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

    Majeneza ya Kukodi (Casket Rental).. Haya ni sawa na kusema ni 'used' Kitu pekee kitu pekee sana na chenye faida kubwa lakini hakipatikani kwa urahisi nchini Tanganyika.. Hiki ni kile kinachojulikana kama Rental Caskets (Majeneza ya Kukodi), ambayo hutumiwa zaidi katika nchi za Magharibi...
  2. M

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  3. Lawi Nangwanda Sijaona na Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika Akitokea Kijijini

    https://youtu.be/yqK9MbgWEuo 🔥 SIRI YA LAWI NANGWANDA SIJAONA: KADI YA TANU YA 1955, NYARAKA ZA AFRICAN ASSOCIATION NA BARUA YA KUMWANDIKIA NYERERE! Je, unajua kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye harakati za TAA (Tanganyika African Association) na baadaye...
  4. Situation Overview ya kisheria ya ushahidi wa Defence toka kwa shahidi DW5 Makamu Mwenyekiti CHADEMA upande wa Tanganyika Mh John Wegesa Heche

    By Advocate Paulo Boniventure; Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026... Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
  5. Maswali ambayo watanganyika wanapaswa kujiuliza kuhusu Muungano na Tanganyika

    Tukiacha kwanza hisia, itikadi na hofu za kisiasa, kuna swali moja la msingi: Je, ndani ya Muungano wa watu wawili, Tanganyika bado ipo kama upande wa Muungano, au imegeuka kuwa jina la kihistoria huku Tanzania Bara ikitumika kama sura ya Tanganyika ndani ya Muungano? A. Kuhusu utambulisho wa...
  6. Sheikh Ponda: Jamii ya sasa inataka Tanganyika iwepo.

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania leo Septemba 07, 2026, Sheikh Issa Ponda amesema suala la muungano linahitaji kufanyiwa maridhiano. "Kwa hivyo, jamii ya sasa, ndio hata tunapozungumzia G55, wao wanataka angalau hata hiyo nadharia iliyoelezwa ionekane...
  7. Vilio vinasikika kila kona ya Tanganyika. Wanawalilia wapendwa wao maana yamkini hawatoonekana tena. Wametekwa na waovu.

    Wengi wa waliotekwa na wanaotekwa ni vijana wa umri tofauti walioowa na ambao hawajaoa. Kwenye serikali ya awamu hii, vilio vinasikika kila kona ya Tanganyanyika kwasababu zisizoeleweka watu wanachuuuliwa kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku. Hakuna wakuwasemea wala kuwatetea. Imefika...
  8. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinasubiri nini Kushughulika na Huyu Adui wa Tanganyika?

    Tumeshuhudia maelfu ya Watanganyika wakimiminiwa risasi na kuuawa, miili yao haijulikani ilipo. Vijana wasio na silaha kama Humphrey Polepole ametekwa na haijulikani yu wapi. Watu kuzuiliwa kutoa maoni yao kwaajili ya kuisaidia nchi yao. Wimbi la kesi za kipumbavu zinazopelekea serikali...
  9. K

    CCM ya sasa adui yake ni Tanganyika!

    Kwasasa kusema Tanganyika ni kama haramu
  10. Unabii Tanganyika: Kwanini tunapitia haya? Nini tafsiri yake kiroho!?

    Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya. Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
  11. M

    Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  12. Serikali yatoa kauli kuhusu Mwekezaji Tim Draper kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika

    TAARIFA KWA UMMA KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ Dodoma 31 Agosti 2026 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini...
  13. Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  14. Kwa nini Wazanzibari wanajifanya hawaelewi kinachoendelea Tanzania bara?

    Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar. On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana Marais wawili, Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini kwa kuwa Samia ni...
  15. Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao kutokana na chuki binafsi dhidi ya viongozi waliopo badala ya kusimama kwenye misingi ya kisheria na...
  16. Samia Suluhu Hassan Anatuharibia Tanganyika Yetu

    JWTZ mko wapi? TISS mko wapi? Kwanini mmeendelea kumsikiliza huyu mama na mnaona kabisa analipeleka taifa mahali pabaya? Mtaendelea kuua ndugu zenu mpaka lini?
  17. M

    Swali langu kwenu wazushi, kama kweli yanayozushwa kuwa Tanganyika inageuzwa koloni. kwanini wabara walioko huko kwenye hizo taasisi nzito wametulia ?

    Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ? Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
  18. T

    Butiku: Viongozi wote wa Zanzibar walikuwa wanamuunga mkono Seif kulinda Zanzibar ila Tanganyika mambo yao yote wameyaweka kwenye muungano

    Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa upande wa bara wao mambo yao yote wamesalimisha kwenye muungano. Amesema hayo akihojiwa na mtaalamu...
  19. M

    Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  20. Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili. Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…