Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Na Constantine J.S. Mauki, Nov. 2026
Nchi hizi mbili ziliungana April 26, 1964, muda mfupi tu baada ya Wazanzibari kufanya mapinduzi na kumng'oa Sultani visiwani humo.
Kielelezo Na. 1: Ishara ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Chanzo: Wikipedia
Haya yalikuwa makubaliano ya Mlm JK...
Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika.
Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi.
Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
UKOMBOZI WA TANGANYIKA UTAFANYWA NA NANI?
Taifa la Tanganyika linapitia kipindi kigumu kinachohusisha changamoto za ukandamizaji, uporaji wa haki za wananchi na unyonyaji wa rasilimali za taifa. Hoja na maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa, lakini bado hakuna hatua madhubuti za kutosha...
Huo ndo uhalisia.
-kwanini Tanganyika haisikiki vinywani mwa watawala. Tanganyika ndio imepewa jina la serikali ya Muungano.
-Kwa muundo huu wa Muungano, Tnganyika ndio imebatizwa jina na kuitwa serikali ya muungano. Kwa muundo huu , kiuhalisia,
Zanzibar hawapo kwenye Muungano, huwa wanatuma...
Na Mkuluwanyika.
Hivi umewahi kumsikia Mshume Kiyate, Kleist Abdallah Sykes, Bilali Waikela, Iddi Tulio, Mzee Suleiman Taqadir, Tewa Said Tewa, Mzee Ali Said Mpima au Mzee Zibe Kidasi?
Bila shaka kama wewe ni kijana wa kizazi kipya (Gen Z) au umeisoma historia ya Tanganyika kupitia vitabu vya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kulia), akipokea Uenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) kutoka kwa Waziri wa Uchumi wa Kijani na Mazingira nchini Zambia, Gilbert Siame aliyewakilishwa na Katibu Mkuu wa...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
Leo jioni nilikuwa napita sehemu ila sikuwa sehemu ya kundi pembeni mwangu ila lipo karibu na maeneo ambayo ni kama hayo maeneo wanaishi umoja au walipo Zanzibar .
Hapa mkoa X .Cha kwanza wanafurahi kuona tunavyo kufa,wanasema wao ndio wenye nchi ila mengine ni kama kuumiza na kuleta hasira...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi chandarua Mwananchi wa Kata ya Katuma Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi baada ya kukagua mradi wa Kituo cha afya kilichojengwa kutokana na fedha za Biashara ya Kaboni...
Kipindi cha Mwinyi, Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, hata akiwa nje ya madaraka. Mazingira ya sasa ni tofauti kabisa.
Kipindi hiki, Makamu wa Rais katiba ilimpa mamlaka ya kuwa Rais.
Wazanzibari wanafahamu kuwa kupata Rais wa Muungano kupitia Ccm kwa njia zilizozoeleka ni...
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.
Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.
Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni...
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda...
Meli ya kihistoria MV Liemba, yenye umri wa miaka 113, imerejea katika Ziwa Tanganyika baada ya kukamilishiwa ukarabati mkubwa uliogharimu Sh bilioni 34. Ukarabati huo umehusisha injini, jenereta, mifumo ya kisasa ya urambazaji na usalama pamoja na maboresho ya huduma za abiria. Meli hiyo sasa...
Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika.
Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika!
Time will tell!
Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana.
Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
changamoto
changamoto za muungano
jmt
kiongozi
mapinduzi
mapinduzi ya zanzibar
mkuu
mkuu wa
muundo
muungano
rais
rais wa jmt
sahihi
serikali
serikali ya mapinduzi
tanganyika
waziri
waziri mkuu
zanzibar
Tanganyika kwenye Aviation ni kama kijiji tu. Viwanja vidogo, vifaa hamna wala abiria. Kuileta A380 huiu ni hasara kubwa. Wananchi wanahimizwa kuchangamkia nauli za Kimbinyiko.
Nimemsikia Rigathi Gachagua wa Kenya akisema kuwa Chivayo alikuwa akicheza dili na marais wengi wa Afrika kupiga madili na yeye kujifanya ni pesa zake.
Hapa nchini uchunguzi huru ufanyike. Maana wanaoumia na masuala kama haya sio Wazanzibar bali ni Watanganyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.