tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kumbe bado maandalizi ya ElNino yanaendelea, Tanga bado wanatengeneza njia za pembeni

    Lazima kuhalalisha namna mtakavyo gawana helà. Kweli bado kuna haja ya kutengeneza njia za pembeni ie service road kwa maandalizi ya El Nino?
  2. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  3. Nguva Jike

    Kitini cha malalamiko ya mwalimu wa Kilindi Tanga chatua ofisi ya makamu wa raisi Dodoma Leo tarehe 12.11.2026.

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni habari njema sana katika harakati za utumishi salama makazini katika sekta ya Elimu wilaya ya Kilindi Tanga.Na ni historia ya kipekee wilaya ya Kilindi Tanga katika kuhakikisha waajiri wanatimiza wajibu wao Kwa waliowaajiri bila vitisho. Moja ya maelezo...
  4. Crocodiletooth

    Nimepamisi sana Ndelema - Handeni, Tanga

    Kila Jumamosi ni mwendo wa nyama choma kwa bei nafuu sana,mbuzi,ngombe,kuku na kondoo swafii kabisa. Nyama safi nyingi safi kwa bei nafuu sana,pande la 7000/- litakutoa jasho.
  5. M

    Sio kwa ubaya ila tunaombeni Tanga iwe sehemu ya Zanzibar, Tunachelewa sana kufika chini ya Serikali ya Muungano wa Tanzania.

    Upanuzi wa Fursa za Uongozi wa Kitaifa: Tanga ikiwa sehemu ya Zanzibar, tungeingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kipekee wa ambapo tungeweza kuwaa Rais wa Zanzibar na bado tukawa na nafasi ya kutoa Rais au Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ni vigumu sana Tanga kupata Rais kwa...
  6. O

    Safari Dar es Salaam - Tanga

    Nipo Dar es Salaam naomba muongozo nina Ist ya 2nz nahitaji kwenda nayo Muheza hivi hapa mafuta ya bei gani, lita ngapi yanaweza nifikisha pasi mawazo
  7. A

    KERO Nimefuatilia kuunganishiwa maji katika Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira, Tanga tangu Julai ila hadi sasa sijapewa control number

    Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira. Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
  8. N

    Wamasai wanatimua jamii ya wasukuma katika baadhi ya vijiji Mombo mkoani Tanga

    Inasemekana Jamii ya Wamasai wanaopatikana ndani ya vijiji vya Mombo mkoani Tanga hawataki jamii ya wasukuma katika vijiji hivyo... Inasemekana wametoa hongo ili viongozi wa serikali waunge mkono nia hiyo dhidi ya wasukuma wanaopatikana katika vijiji hivyo... Inasemekana jamii ya Wamasai...
  9. M

    Tanga: Azawadiwa 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria

    Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
  10. Msemaukwelii

    KERO Malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

    Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali. Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
  11. U

    KERO Malalamiko kuhusu usambazaji wa namba za simu za Watumishi kwa taasisi za mikopo

    Ni nani anayesambaza taarifa binafsi za watumishi, hususan namba zao za simu, kwa taasisi za mikopo? Kumekuwa na hali ya watumishi kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa matangazo ya mikopo bila kuomba huduma hizo. Hali hii inazua maswali kuhusu chanzo cha taarifa hizo na namna taasisi hizo...
  12. A

    KERO Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga na NACTVET mnaniharibia maisha yangu, matokeo ya 2018 hayapo kwenye mfumo

    Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada. Wanasema NACTVET hawajafungua...
  13. A

    KERO Responded Mtaa wa Chungurira - Wilaya ya Tanga Mjini tuliahidiwa umeme wa REA, hakuna kilinachoendelea

    Mtaa wa Chungurira, Kata ya Tangasisi, Wilaya ya Tanga Mjini, Mkoa wa Tanga. TANESCO walitueleza kuwa wanapitisha umeme wa REA, hivyo wananchi tukafanya wiring na fittings kwa kukopa fedha, wengine wakajenga hata chumba kimoja ili wapate huduma hiyo. Hata hivyo, tangu mwezi Agosti hadi leo...
  14. Mad Max

    Hongereni Tanga, Bandari imefunguka. Ila kwa haya maroli, TANROAD fanyeni kuiandaa hii barabara Segera - TA.

    Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu. Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom? Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
  16. A

    Kabla ya Tanga ya leo ni shughuli gani za kibiashara zilikuwa zinaendelea mkoani humo?

    Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii. Moja ya hivyo ni Tongoni. Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
  17. W

    "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  18. Namche Bazar

    KERO Barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana

    Habari za jioni? Kuna barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana japokuwa kuna wananchi wengi sana wanaoishi kwenye barabara hiyo ambayo ipo kwa kiwango cha CHANGARAWE. Barabara hiyo inakwenda kwenye machimbo ya mawe ya kujengea nyumba...
  19. Zack Abdul

    TANGA VS LAMU: VITA YA REFINERY NI VITA YA CORRIDOR YA AFRIKA MASHARIKI

    Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani 01.10.2026 Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
  20. K

    Je mkataba wa kujenga kiwanda cha usafishaji Tanga ni kweli au utapeli

    Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
Back
Top Bottom