Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Hii ndio dunia inapoelekea.
Somo kwa wazazi na wanafunzi kwamba now days ajira nyingi zinataka hands on skills. Kampuni hazitaki degree za theory tu ambazo hazifundishi hands on skills zaidi ya kuwa degree ya kwenye makaratasi.
Ni bora umpeleke mtoto veta kuliko kumpeleka chuo kikuu akasome...
Hapa ni Igoma, Mwanza. Nguzo hiyo ya umeme ipo mtoni na iko katika hali hatarishi, kwani inaweza kuanguka wakati wowote mvua ikinyesha.
Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuboresha eneo la utoaji wa taarifa, kuimarisha mawasiliano ya kimkakati na kutumia ubunifu katika kuwafikishia wananchi taarifa kwa ufanisi...
📌 Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali
📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa kutwaa tuzo nne za umahiri katika mawasiliano kwa umma, ikiwa ni kutambua...
Habari za wakati huu wadau wa JF,
Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti hata nusu saa wanakata tena.
Hapa ninapoongea, tangu asubuhi mpaka sasa wamekata umeme na kurudisha...
Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V).
Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
Anonymous
Thread
kubwa
kuweka
low voltage
maarufu
maeneo
mdogo
mkuranga
msikiti
mwaka
pili
sana
sauti
tanesco
umeme
wakazi
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa nini wanakata umeme wanaharibu vyakula vyetu.
Anonymous
Thread
mjini
mtaa
mtwara
mtwara mjini
sana
tanesco
umeme
vitu
TANESCO wametuunga na wengine tumejoin wenyewe katika magroup yao ya TANESCO huku Masasi Mkoani Mtwara, tukilalamika humo hakuna kusaidika, hapa tu wametoka kukata umeme, wanakata sana, hivi kweli kuna uzalishaji hapa wa kueleweka?
Vitu vinaungua mara kwa mara kutokana na mtundo wao wa kukata...
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama...
Sisi tulikuwa wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika Mradi wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP) Rufiji, tukiwa tumeajiriwa kwa mkataba kupitia STE.
Tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kuondolewa kazini bila kupewa taarifa (notice) kama ilivyoainishwa kwenye...
Anonymous
Thread
jnhpp
kazini
mkataba
rufiji
shirika la umeme
tanesco
wafanyakazi wa shirika
TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme.
Maombi ya kuunganishiwa umeme yamekuwa yakichukua zaidi ya miezi sita bila hatua za msingi kuchukuliwa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza jitihada za kumtafuta mtoto mmoja aliyeonekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akijisomea usiku kwa kutumia mwanga wa taa ya nyumba ya jirani.
Hatua hii imekuja mara baada ya video hiyo kutoa taswira ya juhudi za mtoto huyo katika elimu licha ya...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatoa hofu wananchi kwa kueleza kuwa huduma ya nishati ya umeme itaendelea kupatikana kama kawaida katika kipindi chote cha mvua za El Niño, kwani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kunyesha kwa mvua na kukatika kwa umeme.
Kauli hiyo imetolewa leo...
TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena!
Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch? Mmepanga kutuunguzia vitu sio?
Sijaona ujumbe wowote kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku hii au...
Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali lakini pia niwapongeze na kazi mnayofanya. Ni nzuri. Ina standard na ubora-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu...
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na...
Anonymous
Thread
bila
bila sababu
kukata
maeneo
sababu
tanesco
umeme
Leo Trh 6 SEPT 26
TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU.
MBAYA ZAIDI HAKUNA TAARIFA YOYOTE.
WENGI WANADHANI NIKUTOKANA MA KIJIJI HIKI WANANCHI HAWANA ELIMU
Hii imekuwa hali ya kawaida Umeme kukatika mara kwa mara.
Mi huwa najiuliza sana...???
Wanaweza amua wakakata umeme kila siku.Haijawahi pita Week nzima bila umeme kukatika.
Sasa kama Inchi inazalisha umeme mwingi mpaka wa ziada sa inakuweje kuishi kwenye janga la umeme Kiasi hiki kila siku.
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
Anonymous
Thread
kuelimisha
kuhusu
majanga
pongezi
tanesco
tumieni
umeme
umma
wizi
Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?
Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.