tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Sijachaguliwa kwenye usaili wa TANESCO kutokana na Cheti cha Kuzaliwa, licha ya kuwasilisha cheti kilichothibitishwa

    Habari wana JamiiForums, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wanajukwaa, hasa wale wenye uzoefu wa masuala ya ajira za Serikali na Sekretarieti ya Ajira (PSRS). Nilikuwa nimeomba nafasi ya kazi ya ARTISAN GRADE II – ELECTRICAL katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Baada ya majina ya...
  2. Habari wakuu leo natoa Big up kwa TANESCO

    Leo nimetumia fulsa hii kutoa Pongezi kwa Tanesco TANESCO 1) Wana Call center,Wanasikiliza vizuri wateja na kuwapa namba za taarifa na kuzifuatilia. 2) Nililete Malalamiko ya kuwekewa nguzo,Muongozo ni siku sitini,lakini nimeletewa ndani ya mwezi mmoja 3) Issue ya kuhamisha...
  3. TANESCO kuna Changamoto ya manunuzi ya Luku kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki. Wataalamu wa GePG wanashughulikia

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki. Changamoto hiyo inatokana na hitilafu ya Mfumo wa Malipo ya Serikali (GePG) na wataalamu husika wanaendelea na jitihada za kurejesha huduma...
  4. R

    Kukatika umeme Arusha siku mbili mfululizo, TANESCO mnajielewa kweli?

    Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
  5. A

    Hii nchi uswahili kutoka mkuu wa nchi mpaka kwa watendaji, TANESCO Arusha umeme ulikuwa urudi saa 11 jioni, mpaka sahv saa 1 haujarudi

    Umeme huku Arusha ulikatwa tangia saa 1 asubuhi na tangazo lilikuwa ungerudi saa 11 jioni, ila mpaka sahv saa 1 jioni umeme haujarudi, huu uswahili mpaka lini? Hakuna wa kumkemea na kumwajibisha mwenzake kuanzia juu mi uswahili, hii ngozi nyeusi hasa wabongo tutadharauliwa mpaka lini? Ni watu...
  6. DOKEZO TANESCO EMMERGENCY SERVICE ni bosheni kuna mianya ya rushwa na upigaji unaosabsbishwa na mifumo mibovu

    Kama unanyumba iliyounganishiwa umeme wa TANESCO usiombe shoti itokee kwenye mashine ya Luku au juu ys nguzo inayoingiza umeme ndani sehemu ambayo huwezi kuajiri fundi wa umeme tofauti na wao TANESCO, Ukipiga 180 wanapokea simu vizuri kabisa kisha watakutumia sms kama uthibitisho kuwa...
  7. Admin wa NIDA, TANESCO ,YAS, AZAM PESA, NGORONGORO na HESLB yupi anakukuosha zaidi?

    Mjadala wa kusisimua umezuka mitandaoni huku wananchi wakitaka kujua ni nani hasa kati ya Admin wa Ngorongoro, Nida, na Tanesco, Yas, Heslb, na Azam pesa anayewapa raha au kuwakosha zaidi kupitia staili zao za kipekee za kuwasiliana na umma na jinsi wanavyojibu comment za wateja wao. Je yupi...
  8. A

    KERO Umeme Nzega ni tatizo, TANESCO wanaomba radhi na kutuma picha za mafundi ila hakuna maboresho

    Naishi Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, licha ya kuwa ni eneo lenye fursa kubwa za uwekezaji kutokana na rasilimali zake. Hata hivyo, kuanzia Oktoba 2026 hadi sasa, huduma ya umeme kutoka TANESCO imekuwa mbovu sana. Umeme unakatika kila siku bila utaratibu maalumu, wakati mwingine unakaa siku...
  9. C

    TANESCO: Maboresho zuzu kuathiri umeme mikoa 15

    Baadhi ya maeneo ya mikoa 15 nchini yanatarajiwa kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwa siku mbili mfululizo, wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likifanya maboresho ya miundombinu katika kituo cha Zuzu jijini Dodoma. Maboresho hayo yanayotarajiwa kufanyika Novemba 14 na 15...
  10. KERO Umeme umekuwa mdogo maeneo ya Goba Center, Friji na TV zinazima na kuwaka kama Biti ya Singeli

    Kwa wiki kadhaa kero ya upungufu wa umeme umeongezeka mitaa ya Goba Center. Mida ya jioni voltage inashukaga chini sana mpaka feni inapungua spidi na taa zinaanza kufifia na kuchezacheza. Tena friji na TV ambazo niliziwekea guard ndo basi tena. TANESCO mnatuharibia vifaa vyetu. Tunaomba hii...
  11. Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi! Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini? #TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
  12. Tuna Miti kila Mkoa! Kwanini Wateja wa TANESCO wakose nguzo na kutakiwa kusubiri siku 60?!

    Nimelipia nguzo ili niwekewe Mita,mita pia nimelipa, nimekwamishwa na nguzo hakuna! Mita zinazalishwa na kuagizwa toka nje,zipo za kutosha,shida nguzo,naambiwa Material hakuna,nina muda wa kusubiri mpaka siku Sitini! Kama TANESCO hamna ufanisi katika kujua mahitaji yenu kwanini...
  13. M

    Nashauri TANESCO WAZIME UMEME JUMAMOSI USIKU, J2 WAUWASHE ILI TUPATE KULALA

    Hii kwa sababu baadhi ya makanisa Jumamosi usiku hukesha na kutufanya tukose usingizi
  14. A

    Mh. Rais TANESCO Arumeru-Arusha inakuhujumu, imekata umeme watanzania wasifuatilie shughuli zako Dodoma

    Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma...
  15. TANESCO imalizie project yake ya Duma(CMS) ili iweze kupambana na changamoto za uharibifu na wizi wa miundombinu

    TANESCO imepoteza zaidi ya nguzo 81 kwa moto, transfoma 4 zaibiwa katika mikoa ya Iringa na Njombe. Tunajua kipindi hiki kuelekea mwishoni mwa mwaka ni kipindi cha kujiandaa na shughuli mbalimbali za kilimo Katika mikoa ya nyanda za juu kusini(Iringa na njombe). Moja ya njia inayotumika...
  16. T

    TANESCO KERO

    KERO...Mpaka Leo sijapata contorl number wiki 2 zimepita.. surveyor tayari kafika nampigia anasema hukuna mtandao .. napiga huduma kwa wateja 180 wameniambie niende Office... mnatengeneza ukırıtımba mazıngıra ya RUSHWA... kuna umuhimu gani mm kwenda office wakati namba ya huduma kwa wateja ipo...
  17. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  18. Kampuni ya Kichina Yaanza Ujenzi wa Kongani ya Viwanda Rivuma. Kuzalisha megawatt 2000 za Umeme wa makaa ya mawe na kuuzia TANESCO

    My Take Cha muhimu tusije pandishiwa bei za unit https://www.instagram.com/reel/De1_LHROMJl/?srtk=bGFwcjZmc3gycW5j
  19. TANESCO tupeni Excuse ata ya Kuzugia Kwanini mmekata Umeme. Elnino au Jua Kali sana?

    TANESCO poleni na kazi. Rudisheni umeme tafadhali. Dar es Salaam , Mbezi.
  20. M

    Mwananchi wa Mbeya: TANESCO msikate umeme, wa mitandao msizime tuangalie kinachoendelea Kabwe

    Jamani, hii ndiyo hali inayoendelea Mbeya. Hali ni mbaya. Hii hapa ni stendi ya Kabwe ambapo pale watu wanakuwanga nyomi, watu wanakuwanga wengi. Sa hivi Kabwe ni nyeupe. Nyeupe. Watu tupo tu nyumbani tumetulia, tumenyosha miguu. Tanesco Mbeya, tunaomba msikate umeme. Narudia tena, Tanesco...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…