Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza TAKUKURU mkoani Mtwara kuchunguza mchakato wa utoaji wa tenda ya shilingi bilioni 27, namna mkandarasi alivyopatikana na walioidhinisha tenda hiyo, baada ya kutoridhishwa na kasi na kiwango cha utekelezaji wa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) Kinondoni, imebaini upungufu katika utekelezaji wa miradi 14 ya maendeleo, mmoja ukihusisha ujenzi viwanja vitatu vya mazoezi kwa ajili ya Fainali za Mataifa ya Aftina (AFCON) 2027 vinavyojengwa Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa leo Jumatano...
Naomba nitoe kero kuhusu mchakato wa zabuni katika baadhi ya halmashauri za Mkoa wa Kilimanjaro.
Kuna taasisi ambazo, kwa madai yangu, hutangaza zabuni lakini mchakato wake unaonekana kuelekezwa kumpendelea mzabuni fulani. Mzabuni mwingine anaposhinda badala ya yule anayependelewa, zabuni hiyo...
Habari za jioni.
Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na kuhonga ofisi ya utumishi Kilindi isiwatoe walimu wengi wanaotaka kujitoa CWT kutokana na udikteta wa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14, huku akimtaka Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala kusimamia utekelezaji...
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Ripoti nyingi zinaonyesha tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa ambayo inakwamisha maendeleo mengi, akisitiza kuwa rushwa imekithiri hasa siku za hivi karibuni...
Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na mikataba ya wafanyakazi.
Kero kubwa ni kwamba gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini cha...
Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030.
Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu
ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC).
Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba...
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo (boom) mara mbili kimakosa kutoka Bodi ya Mikopo (Higher Education Students' Loans Board - HESLB)...
Anonymous
Thread
boom
kimakosa
kwani
makosa
mara
takukuru
udsm
wanafunzi
Najiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA?
Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.
Kumekuwepo na tuhuma zinazomhusisha mtumishi wa umma katika taasisi TAKUKURU na mwenendo unaodaiwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma.
Ni muhimu mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini ukweli wa tuhuma hizo na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za...
Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026.
Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
Anonymous
Thread
ardhi
ardhi dodoma
bila
dodoma
hati
hati ya kiwanja
kiwanja
mchezo
nyumba
ridhaa
takukuru
Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya.
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
Anonymous
Thread
kufuata
kusimamia
mpimbwe
pongezi
sheria
takukuru
uwajibikaji
wake
TAKUKURU mmepigwa chenga na Alex Msama mpaka Leo na lile kengeza lake kweli?
==========
Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni Elizabeth Mokiwa kupitia kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam , Alhamisi Januari 22.2026 alitangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh...
Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii.
Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
Anonymous
Thread
kuficha
kuhusu
magari
mali
minada
mnada
serikali
taarifa
tabora
takukurutakukuru tabora
uchunguzi
umma
Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU
Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika...
Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania.
Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii.
Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
fedha
kati
kufanya
makonda
maliasili
maliasili na utalii
matumizi
matumizi ya fedha
nchini
takukuru
uchunguzi
utalii
wanamichezo
wizara
wizara ya maliasili
Huu mkeka wa ufisadi umepamba moto miaka ya karibuni bila kuchukuliwa hatua,
TAKUKURU ina fuatilia vidagaa, na ni kwa vile wakubwa wanahusika katika hii grand corruption.
Ujenzi sasa hivi ni sekta inakaribia kubomoka kabisa kutokana na corruption inayowahusu Wachina, Taasisi za ujenzi, hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.