Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku.
Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara ya wafanyajazi wengi ni elfu 8 hadi 10 kwa siku.
Kuna kampuni moja niliwahi kwenda nikakuta wanalipa...