tajiri

  1. Expensive life

    Kibongo bongo mtu akiwa na kipato cha elfu 50 kwa siku ni tajiri.

    Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku. Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara ya wafanyajazi wengi ni elfu 8 hadi 10 kwa siku. Kuna kampuni moja niliwahi kwenda nikakuta wanalipa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Tibeli Code: Ni hatari kuonekana tajiri katika mazingira yenye watu maskini

    Habari za Sabato! Nilishakuambia Low key ndio mbinu ambayo itakusaidia. Danganyanisha kwamba upo broke. Lengo ni kuwa tajiri sio kuonekana kama tajiri. Umetoka ukoo fukara. Unanuka Mavi ya maskini. Mawazo ya kimaskini kila mitaa. Sura zimechoka. Mavazi masurupwete na maronya ronya. Hao ndio...
  3. ChoiceVariable

    Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  4. Titicomb

    Mwisho wa maisha ya tajiri Reginald Mengi ulianzia hapa kwenye kufuatilia na kuwataja mafisadi papa?

    Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu. Hili ni swali siyo tamko (declaration). Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena: Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
  5. M

    Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

    Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya. Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Tajiri ninathibisha, CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Msikiti wa bilioni 21 unaojengwa na Makonda hauna tija.

    CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania. Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society . Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income. Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
  7. Mad Max

    Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa; Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi? Au ni winga?
  8. Yoda

    Tajiri akifa Waswahili wanakipamba sana kifo

    Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote. Huu ni ujinga, kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa katika umri wowote, ukiwa Africa au nchi ambazo...
  9. J

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni

    Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni Yesu Kristo alisema, ni vigumu kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni kama ilivyo vigumu kwa ngamia kupita katika tundu la sindano. Je, Yesu alikuwa anarejelea ngamia na sindano halisi? Kama...
  10. Red black

    Kama kungekuwa na pesa za uchawi/majini basi bro Mshana Jr angekuwa tajiri namba 1 Africa

    The old Witcher 🤔 Mshana Jr
  11. Tech Max

    Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  12. a sinner saved by Christ

    Kama unataka kuwa kupitia TAJIRI kupitia kuajiriwa basi usisome kozi ya UDAKTARI

    Ni kweli kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kusomea udaktari wengi wao huwa na ufaulu mkubwa/mzuri wa masomo yote hasa ya sayansi kwa kifupi ni wale ambao kichwani zipo ama ni wale waliokuwa vipanga huko masekondari,ndipo ukienda vyuo vya afya hasa kwa zamani ambapo vyuo vya afya vilikuwa viwili tu...
  13. Tech Max

    Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  14. Prakatatumba abaabaabaa

    Prove me wrong Hakuna fundi tajiri.

    Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje? Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na VETA na Ofisi ya Waziri Mkuu. Alisisitiza kuwa lengo ni kuwapa vijana ujuzi wa...
  15. Tech Max

    Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

    Kila kitabu bei 10,000 nicheki WhatsApp 0756704145
  16. Tech Max

    Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  17. C

    Siamini kama kuwa tajiri kunahitaji akili,maana matajiri wengine hawana akili kabisa

    Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote. Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa...
  18. Nehemia Kilave

    Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  19. Pakome

    Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  20. Yoda

    Unamuelewaje tajiri anayesisitiza watu wajali mambo ya mbinguni kuliko duniani?

    Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
Back
Top Bottom