taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Wadau wa Sekta ya Tumbaku waichambua Dira wa Dira ya Taifa 2050 na Mpango Kabambe wa Kilimo 2050

    Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe wa Kilimo wa mwaka 2050 (Agricultural Master Plan 2050 – AMP 2050). Kikao hicho kimewakutanisha...
  2. Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi

    Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa. Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani. Siku hizi imekuwa tofauti, vijana wanaenda kufundishwa uchawa kuliko uzalendo halisi. Binafsi siwezi kumuunga...
  3. Karia na wenzako kama hamuwezi scouting ya timu ya Taifa ya kupata Professional players nipeni tender niwaletee wachezaji Quality wakitanzania

    Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!! Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
  4. A

    KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  5. Je, mbona taifa la Malawi haliambiwi liombe kujiepusha na janga linalokuja?

    Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!! Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...! Lakini...
  6. Kijana unafikiri nini juu ya taifa lako?

    Mwanajamvi na mwana JamiiForum ulioko Afrika Mashariki...! Kijana ndio nguzo ya Taifa lolote dunia Je? Kijana wa Afrika Mashariki una nini juu ya taifa lako na pia watu wengine wanapenda kujua maoni yako unafikiri nini juu ya Taifa lako kama kijana na mwananchi wa taifa lako. Vijana aka Gen Z...
  7. Minyukano na vikumbo vya kurithi nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa vyaanza kupamba moto ndani chadema.

    Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema? Je, baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi...
  8. Matokeo ya Taifa Stars YANANIKOSHA SANA.

    Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
  9. Mitihani ya taifa yasogezwa kuepuka athari za El Nino

    W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa katika baadhi ya maeneo nchini. ILA TANZANIA Akizungumza Jijini...
  10. Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  11. Mitihani ya Taifa yawahishwa 2026: Zima Moto wamekalia wa Chuya!

    Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa...
  12. Hivi Ronaldo si alisema anastaafu kuchezea team ya Taifa? Mbona leo anakipiga?

    Kombe la Dunia lilivoisha mwamba si alitangaza anastaafu kuchezea team ya Taifa Portugal? Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa baada ya kombe la Dunia 2026 Mbona leo Tena uwanjani Portugal vs Wales?
  13. M

    Makonda: Tulipanga Jezi ya Taifa izunduliwe na Rais, Wizara zote ziwepo, taasisi zote tuzialike

    Niliamini busara itumike, tuwe na jezi iwe pride ya nchi. Tulipanga sisi wizarani jezi hiyo izinduliwe na mheshimiwa Rais. Wizara zote ziwepo, taasisi zote tulipanga tuzialike, tulikuwa na mpango, hapa kina Haji wanajua hapa, kina Neema, ya kwamba ifike hatua ukienda TFF, ukienda wapi, ilikuwa...
  14. Taifa stars vs Guinea Bissau itachezwa wapi?

    Simba na Yanga zinapelekwa Zanzibar. Je, timu ya taifa nayo ityapelekwa huko?
  15. Q

    Sheria ya uhaini haina faida kwa taifa, inawanufaisha wanasiasa zaidi kuliko wananchi

    Sheria ya uhaini ya sasa iko kisiasa zaidi na inawanufaisha wanasiasa pekee, imepitwa na wakati, irekebishwe isaidie kwenye nyanja za kiuchumi kama walivyofanya wenzetu wa China, Korea Kusini, Singapore, Botswana, Mauritius. Mfano leo Lissu akinyongwa taifa litapata faida gani. Sheria isomeke...
  16. Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  17. Msemo wa funika kombe mwanaharamu apite inavyo zidi kumaliza taifa kwa kujifichia kwenye amani,ukarimu na busara

    Huu msemo unatufanya kufanyiwa ujinga mwingi kwa kisingizio cha amani ndio kinatupeleka taifa kubaya. October 29 na yanayoendelea yanataka kuwekewa msemo huu ili kama hakuna lolote lijatokea wala wale sio watu. Na huu msemo kwa sasa ndio unafanya njia ya kunyamazisha hata kama mwanaharamu...
  18. K

    Taifa bado lipo kwenye majanga na maombolezo

    Jumla ya hawa wabunge 404 ni wahaini hata ndani ya mioyo yao na nafsi zao wanajua ya kuwa hawakuchaguliwa na wananchi Oct 29.2025
  19. Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  20. Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…