taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Gabeji

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa. Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power. Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
  2. MIXOLOGIST

    Embu Taja Vyakula Vinavyostahili Kuitwa Vyakula vya Taifa.

    Chakula ambacho kokote uendapo ndani ya mipaka ya nchi yetu utakipata. Kiwe chakula cha asili na siyo chakula kilicholetwa na wahindi, wazungu au wageni wengine hapa nchini. Kwangu mimi nadhani ni hivi vifuatavyo: 1. Chips yai (zege); 2. Mtori; 3. Ndizi nyama; 4. Makande; 5. Magimbi; 6. Viazi...
  3. Pakome

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  4. Yoda

    Hakuna mahali popote Quran imeagiza wazazi au walezi kuchapa au kupiga watoto, Biblia ndio imeagiza hivyo, msilazimishe wote tuchape watoto

    Katika Quran hakuna mahali popote wazazi au walezi wameagizwa kuchapa au kupiga watoto kama adhabu, hayo sio katika mafundisho na maamrisho ya dini ya Kiislamu. Wanaume Waislamu wameelekezwa kuwapiga kidogo tu wake zao ila sio kupiga watoto. Biblia ndio inasema watoto wapigwe ila sio Quran kwa...
  5. M

    David Kafulila: Mchango wa Kilimo kwenye Pato la Taifa (GDP) ni 25%, wakati sekta ya huduma ni 36% na viwanda 32%. Wakulima wamepungua kutoka 80% -57%

    KUPITIA PPPs, TUNATAKA KUWA NA SEKTA NDOGO YA KILIMO YENYE ZANA BORA ZAIDI, TEKNOLOJIA YA KISASA ILI KUONGEZA MCHANGO WAKE KWENYE UCHUMI (GDP) Akijibu swali la Mwanachuo Rachel, Bwana David Zacharia Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC Tanzania, alisema watu wanapaswa kupungua katika sekta ya...
  6. K

    Kama kweli hizo video za "connection" za wanafunzi ni "spinning" zimelenga kuhamisha mjadala, wahusika wanaua Taifa

    Nianze kuweka wazi kwamba si muumini wa kutazama mambo ya faragha za watu toka utoto wangu hata video pendwa za X sijawahi kuangalia, hivyo hata hizi connection naishia kusoma comments za watu na maelezo ya viongozi na kuangalia hatua wanazochukua Mitandao imefurika connection ya mwanafunzi...
  7. Mhaya

    Serikali uweke Account namba ya deni la taifa watu tulipie mdogo mdogo

    Eti Wadau Hili deni la taifa inabidi tulivalie njuga, weweke namba ya malipo tunanze kuchangia liishe, tu-fokasi na mengine
  8. Idugunde

    Mpaka inafika 2030 CCM mtandao watatuumiza sana kama taifa. Watatunyonya mpaka tutakoma

    Watakamata na kuua watu, wataiba mali za umma. Watateka na kuua watu. Umasikini utatamalaki maana wao na familia zao watakula mema ya nchi. Tufanyeje ili waondoke madarakani kabla ya 2030?
  9. BIOTOXINS

    Ukimya wa wananchi na kukosa Imani na vyombo vya dola tahadhari kwa taifa

    Kuna jambo ambalo linapaswa kutupa tafakari kubwa kama taifa. Taifa linapofika hatua ambayo baadhi ya wananchi wanaona ni salama zaidi kukaa kimya kuliko kuzungumzia masuala ya nchi yao hadharani, tunapaswa kujiuliza maswali mazito kuhusu hali ya demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa...
  10. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  11. Roving Journalist

    ACT: Hukumu ya Lissu ni mtihani wa Demokrasia ya Tanzania, ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
  12. Tlaatlaah

    Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  13. min -me

    Rasmi Lissu ni baba wa taifa

    Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa. Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana 😅 Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
  14. Wakusoma 12

    Lissu alijitetea lini kwenye kesi ya uchochezi? Tupo kwenye taifa la hovyo sana

    Unajiita mahakama na unaruhusu huu uhuni? Kwanini lakini? Unaweza vipi kumfunga mtu bila kujitetea?
  15. figganigga

    PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  16. C

    Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  17. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  18. Corticopontine

    Tuibieni Hela zetu lkn si kuruhusu ushoga, chukueni vyoote lkn msiruhusu ushenzi wa kuangamiza Taifa letu

    Ni nini mmepewa mpaka mnakuwa na kigugumizi cha kukemea ushoga? Magari? Dhahabu?? Ni nini basi?? *Nimechukia sana na ububu wao kukemea ushenzi ushetani huu
  19. K

    Checks and Balances: Funzo la Marekani kwa Taifa Linalomtegemea Mtu Mmoja Katikati ya Utajiri wa Madini

    Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
  20. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
Back
Top Bottom