taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  2. Maandamano ya CHADEMA yamelipaka matope taifa

    Kitendo cha vyombo vya kimataifa kuripoti maandamano haya kwa sura kwamba raifa sasa limerudi nyuma kwenye kiasi cha kulinganishwa na nchi za kidikteta ni jambo ambalo kama watanzania limetupa hisia mbaya. Maandamano ya chadema ambayo kwa nje yanao ekana kuto fanikiwa lakini impact yake...
  3. Tukisema CCM inazalisha Wanafunzi Mazuzu ambao wanaligharimu na wataligharimu Taifa letu mnatuchukia

    Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi. Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo. Leo...
  4. L

    Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja...
  5. Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

    Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki. Chadema kuna shida kubwa sana.
  6. M

    Kwa CCM hii, Maendeleo ya kweli kama Taifa tusahau milele

    Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni kansa kubwa inayosababishwa na CCM. Hata watumishi wa umma kama walimu, manesi, maafisa kilimo, polisi...
  7. Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

    Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya Kakolanya kutemwa Simba na Manula na Salim kusugua benchi pake msimbazi ni kama Stars haina kipa wa...
  8. Sidhani kama Watanzania hawataki maandamano, na sidhani kama polisi wanaweza kuzuia maandamano yenye tija kwa taifa

    Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi. Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu...
  9. Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  10. M

    Maandamano ya kesho tar. 23.09.2024 yataleta hatma ya Taifa letu.

    Kesho siku ya jumatatu tar. 23.09.2024 yanatarajiwa kufanyika maandamano ya wananchi wakipinga serikali kutochukua hatua stahiki dhidi ya Utekaji, utesaji na mauaji ya watu ambayo yamekuwa yakifanyika hivi karibuni hapa Nchini. Maandamano hayo yanakwenda ama kuwamaliza kabisa kisiasa na...
  11. Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  12. F

    Wanoishabikia CCM ni wale wanaolipwa na CCM, wasitutoe nje ya mstari wa kupigania haki, uhuru na amani ya Taifa letu.

    Ukiangalia wengi wa wale wanaoishabikia CCM ni wale wanaolipwa au kufaidika kibinafsi na uwepo wa CCM. Labda ni viongozi, au wazazi na ndugu zao ni viongozi au wanufaika wa CCM kwa namna moja au nyingine. Ni wakati mzuri sasa wa kuondokana na CCM na mfumo waliokwisha kuujenga kwa miaka zaidi ya...
  13. Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  14. S

    Balozi kaamua kuungama hakika tanzania ni taifa imara

  15. Sanamu ya Baba wa Taifa yavunjwa na kuharibiwa Tabora, msako waanza.

    Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
  16. Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  17. Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  18. Mama Anaupiga Mwingi, Ameweza Ametenda, Aitwe Mama wa Taifa

    Kuna watu waliingia madarakani na 4R, kama mlikuwa hamjui, dhumuni kubwa la 4R lilikuwa ni kukosoa na kuonesha utawala wa JPM’ulikuwa mbovu; katika maisha , huwezi kuonekana upo bora kwa kuonesha madhaifu ya aliyekutangulia huku wewe ukiwa supporter wake ,hutoboi 4R ni za mchongo na hazipaswi...
  19. Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  20. PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…