taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  2. Waziri Mkuu: Usalama wa chakula ni usalama wa taifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inauchukulia usalama wa chakula kuwa sehemu muhimu ya usalama wa taifa na msingi wa kudumisha uthabiti wa uchumi. Amesema upatikanaji wa chakula na lishe ya uhakika una mchango mkubwa katika kuboresha maisha ya wananchi na kuiwezesha Serikali...
  3. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Day 2 ya Kongamano la 4 la Maktaba. Uwasilishaji Mada na Mijala Inaendelea.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, leo pia niko tena hapa kwenye ukumbi wa Maktaba Kuu ya Taifa, kukuletea live, Day 2 ya hili Kongamano la 4 la Maktaba. https://www.youtube.com/live/5ELvBc_-9b4?si=nkjgk0zIL6DWv8zU Mzee Pasco.
  4. A

    KERO Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Form 4 - Kakonko tumelipwa posho pungufu

    Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne, Wilaya ya Kakonko tumepewa malipo yasiyoendana na siku za kazi yenyewe, tunakaa na mitihani siku 7 ila malipo tuliyopewa yalikuwa ya siku tano. Malipo hayo ni Sh 75k kwa siku, wengine vituo tulivyoenda kusimamia vilikuwa vya mbali na kutoka...
  5. CCM: Je, vyombo vya Serikali vinatumikia taifa zima au vinatumiwa kwa maslahi ya chama kilicho madarakani?

    Demokrasia imara inahitaji wananchi watofautishe chama, Serikali na dola; na pia inahitaji taasisi za umma ziwe na uwajibikaji, zifuate sheria na zihudumie wananchi wote bila kujali chama wanachounga mkono. Jambo la msingi: Kuchagua chama ni uamuzi wa kisiasa; vyombo vya ulinzi na usalama ni...
  6. Sativa umemsikia dada wa taifa haya tulete kati tulete kati hili aweza do it

    Kule IG dada kaongea vitu kibao sasa unajua nini kijana una kitu ndani yako na Mungu alikuponya kule Katavi kwa sababu ebu weka ukamalia pembeni hizi wiki mbili walete vijana kati
  7. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
  8. A

    HOJA Ushauri kwa Baraza la mitihani Tanzania(NECTA): Maafisa Elimu Kata (waratibu elimu) wasiruhusiwe kusimamia Mitihani ya Taifa

    Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim. CASE STUDY katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za...
  9. UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

    Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI. Niwaombe UVCCM wote...
  10. Barua kwa Vigogo wa Kisiasa, Kidini na Kijeshi Kuhusu Tatizo la Umachiavelli wa Kitaasisi Tanzania: Muda wa Kuchukua Hatua ni Sasa

    Sasa ni mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, tukio ambalo lilitakiwa kuwa kielelezo cha sauti ya wananchi, lakini badala yake likageuka kuwa kilele cha kile ninachokiita Umachiaveli wa Kitaasisi. Mbinu za Machiavelli sio wazo geni katika siasa zetu. Lakini sasa limefikia kiwango cha...
  11. Imagine kiongozi wa Chama kilichopokea ruzuku bil. 2.7 anatamka matamshi haya, Hii ni hasara kwa Taifa. CHADEMA acheni kucheza na Taifa letu.

    Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU. Kisa familia zenu zipo kwa mabeberu kwahyo hamna cha kupoteza ndo mnafanya KAZI ya kuhubiri ujinga CHADEMA KOMENI HII...
  12. Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  13. M

    Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

    Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana. Matokeo (outcome )yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya...
  14. Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  15. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammedi Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  16. Je Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Maneno au Matendo?. Mwaka 1976 Walikufa 4 Akakasirika Sana, Akasafisha!, October 29, 25 Wamekufa 518 Kuna Aliyekasirika?

    Wanabodi, Nilipata mwaliko wa ITV kuzungumzia Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. https://www.youtube.com/live/BCed6WueJmM?si=pC7ZgWDyWKPHRKAp Karibu. Mzee Pasco
  17. Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

    https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/ Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana. Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi...
  18. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Press Conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa, TLSB, Dr Mboni Ruzegea Akizungumzua Kongamano la 4 la Maktaba

    Wanabodi Niko hapa Maktaba Kuu ya Taifa, kuwaletea live press conference ya Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba, Dr Mboni Ruzegea. Karibu https://www.youtube.com/live/2hjHsBrQJNo?si=ZjKG4sWP3KUGRlhg Mzee Pasco
  19. T

    Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu

    Katika hali sio ya kawaida zipo dalili za wazi kabisa Taifa langu Tanzania lina pita ktk nyakati ngumu ktk usalama wake. Yes Utabiri unaonyesha Taifa langu Tanzania chini ya idara zake wasipo kuwa imara nakusimamia tunu za TAIFA. BASI ni dhahiri Taifa hilo litapita nyakati ngumu na hii ni...
  20. M

    Ni faida gani Taifa linapata kwa Serikali kujielekeza kwenye mashindano ya U miss, na mashindano mengine yanayofanana na hayo?

    Ndugu wanajamvi je serikali haioni ni muda muafaka wa kuwashindanisha vijana katika mambo muhimu kwa ajili ya kujenga taifa lenye watu walio na utaalamu na hasa ikizingatia uhitaji wa dunis ya sasa? Kwa nini kama nchi turuhusu mambo ya kipuuzi kama urembo, utanashati na Makonda juzi anatoa maoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…