taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Tusipochagua genius position hizi hili taifa siku moja litakuwa taifa la manamba

    Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili. Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na nguvu duniani limewekwa kwenye misingi ya watu wenye akili na sio watu wenye akili kidogo. Wengi...
  2. F

    Kumbe Hayati Rais Magufuli alikuwa Mwamba kweli kweli!! Taifa hili litakukumbuka daima!!!

    Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO. Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania ni Nchi ya ajabu kweli kweli! Hayati Rais Magufuli amefariki hata mwaka mmoja haujaisha hofu kuhusu...
  3. Tafiti za wasomi zisaidie Taifa

    Tumekuwa na wasomi wangazi za juu (Masters na phd) wengi sana wana maliza kila mwaka; Ila inavyo onekana kuna baadhi ya tafiti hazina umuhimu wowote wa maana kwa maisha ya watanzania Natamani: 1. Vyuo viwe na maono ya kufanya tafiti nyingi za kutatua changamoto za watanzania kwa sasa tuachane...
  4. Je, ni nini kinacholitesa a taifa hili kwa sasa?

    Karibuni tuyabainishe sote labda viongozi watafunguka akili karibuni.
  5. Taifa Stars kuondolewa kwenye njia ya kwenda Qatar ni baraka toka kwa Mungu

    Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini. Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
  6. Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  7. PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  8. Kesi ya Mbowe inalichafua Taifa na kuzidisha ugumu kwenye ulinzi

    Katika hali ya kawaida watanzania wanafikishwa mahali pabaya na utawala wa CCM. Kuibinya demokrasia kwenye taifa kunasababisha taifa kupata raia wakakamavu sana bila sababu. Utawala wa makaburu, wareno, Idd Amin, au Gadaffi ulizaa raia wakakamavu sana kwenye mataifa hayo. Kazi ya ulinzi...
  9. Je, Uwekezaji wa Vietnam Katika Korosho Mkoani Mtwara una tija kwa Taifa letu?

    Inafahamika kwamba Vietnam ndiye mnunuzi mkubwa wa Korosho hapa nchini na muuzaji mkubwa wa zao hilo katika nchi za ulaya na Marekani. Katika mwaka 2019 alifanya biashara ya korosho yenye kiasi cha thamani ya Bilioni 3 za Kimarekani ( sawa na Shilingi Trilioni sita za Kitanzania) Katika siku...
  10. Tutahesabu wachezaji wa NBC premier league watakaoitwa timu za taifa Play off 3rd round WC Qatar 2022

    Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021 mechi zitaanza march 2022 Kutoka ligi yaNBC watawakilishwa na 1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
  11. Maji na Umeme imekuwa janga la taifa, Serikali tusaidieni kazi zimesimama vyakula vinaharibika kweye friji

    Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
  12. M

    Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  13. Timu ya Taifa ya DR Congo yafanya sub mara nne jana kinyume na utaratibu

    Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa. Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point...
  14. M

    Ni kwanini Simon Msuva akicheza bila Mbwana Samatta Taifa huwa anajituma maradufu Kuifia Timu hadi Kufunga Magoli muhimu?

    Je,.... 1. Ufalme wa Mbwana Samatta unamtesa? 2. Anataka kutuonyesha kuwa Mbwana Samatta ni cha Mtoto tu Kwake? 3. Huamua Kumsusia Timu Kimakusudi Mbwana Samatta? 4. Hampendi Mbwana Samatta? 5. Usimba na Uyanga umewaathiri kwakuwa Msuva ni Yanga SC na Samatta ni Simba SC? 6. Anataka...
  15. S

    Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  16. Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  17. C

    Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

    Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
  18. M

    Nataka hawa ndiyo wawe katika Benchi la Ufundi la Taifa Stars na siyo 'Goigoi' walioko sasa

    1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi 2. Ally Mayai Meneja wa Timu 3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi...
  19. Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5. CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu. Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic. Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna...
  20. M

    Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…