taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Deni la Taifa in and out, kinachoumiza sio kukopa ni matumizi ya kinachokopwa

    Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi. Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa. Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa. 1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika...
  2. K

    Deni la taifa Rais Samia vs Spika Ndugai

    Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za mikopo ya serikali kwa uchumi huu inatakiwa kuwa 5% tena kwa miaka 20 sio sita. Nitarudi...
  3. Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

    NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA: 1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali." 2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu." 3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu." 4. "Dada aliyetoa taarifa za...
  4. Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  5. Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

    Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho...
  6. Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  7. Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja...
  8. Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  9. Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  10. Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
  11. Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  12. B

    Tusiogope kuwaeleza ukweli wazee wetu; Warioba na Butiku mnaweza dhana mnasuluhisha kumbe mnaahirisha Mpasuko wa Taifa letu. Jisahihisheni

    Mzee Warioba na Butiku wanaweza wakashindwa kutumia heshima waliuyopewa na Mwenyenzi Mungu kuwajaalia afya njema lakini pia na Taifa Kwa hekima na busara zao. Wazee Hawa wamekuwa wakitumika mara kwa mara pale CCM inapolikoroga,utumika kuwa njia ya maridhiano na kwa miaka yote walioshirikishwa...
  13. K

    Sabaya kaenda jela watu wanashangilia, Mbowe yupo Mahabusu Taifa linavurugika. Tusubiri TCD ya michongo itumike kufuta mchongo

    Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama. Kila Kona anajadioiwa Mbowe...
  14. S

    Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
  15. Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

    Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana. Anasema kuwa Rais akitoa kibali cha mikutano ya hadhara, Chadema wanaenda kuvunja vunja Magari pamoja na mali nyingine za uma ndiyo...
  16. S

    Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
  17. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kukutana Desemba 18, 2021

    HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021 TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan. Kikao...
  18. Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

    Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi. Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
  19. Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

    Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa...
  20. K

    Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…